Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Dunia inaenda mbali Sana na technology yake ... WAJUKUU zetu watakuja kuishi kwenye dunia ya ajabu Sana Kwa mfano hizi electronic vehicle sio Ile Raha yake kuendesha gari isiyotoa mlio na yenye single pedal.
Kwamba raha ya gari mlio, sipati picha wale wazee wa formular one racing itakuwa kimya kimya, lakini ndio hivyo technology ni kama mafuriko huwezi kuyazuia.

Nimetazama hio gari ya kichina inaiwa Li L8, ina maajabu sana, halafu na tech ni advanced sana, bei ipo chini kuanzia $46,000 kutoka kiwandani, sasa sie wazee wa kusubiri used nadhani kuna kipindi watu watazivuta kwa milioni 30 au 20.

Hii kampuni inakwenda kuua soko, wajuzi wanasema ni gari kali ambazo hazina uofauti na Tesla.
 
Hivi navyoongea kuna gari moja ya umeme mtu alishea humu iko Serengeti mbugani. Ni chinese Brand moja kalii inaitwa Li L8 Suv sasa imagine bongo watu wakiamua kuzinunua hata miaka 3 haishi zitakuwa chungu tele barabarani.

CCM hawawezi shusha mafuta hata mapipa yakigawiwa bure huko duniani. Magufuli tu ndio aliweza shusha bei when barrel price dropped to USD 0 kipindi cha Corona bei ikawa na statutory charges tu. Ila nina hakika nchi ingekuwa chini ya kiongozi mpiga dili bado enzi za Covid wese lingebakia 2300 na kuzidi kupanda bila huruma.
Wapiga deal wote wafahamu dunia inakwenda kubadilika, hayo mafuta wakipandisha watanunua wenyewe, hawa vikongwe wapiga deal ndio wanaharibu hali ya hewa na kurudisha nyuma maendeleo, usije shangaa wakiona upepo umehamia umehamia kwenye EV wataanza kupandisha kodi kwa EV kwa kiwango hujawahi sikia duniani.
 
Hahahahahah kwani hata sasa wanachofanya ni nini? Sahizi ukiagiza EV kama inauzwa 15M Japan TRA nao wanataka uwape 15M yao.
 
Kwamba raha ya gari mlio, sipati picha wale wazee wa formular one racing itakuwa kimya kimya, lakini ndio hivyo technology ni kama mafuriko huwezi kuyazuia.

Nimetazama hio gari ya kichina inaiwa Li L8, ina maajabu sana, halafu na tech ni advanced sana, bei ipo chini kuanzia $46,000 kutoka kiwandani, sasa sie wazee wa kusubiri used nadhani kuna kipindi wau waazivuta kwa milioni 30 au 20.

Hii kampuni inakwenda kuua soko, wajuzi wanasema ni gari kali ambazo hazina uofauti na Tesla.
Biden na Musk vichwa vinawauma huko! Muarobaini wa Tesla ushapatikana toka kwa macho madogo 🤣
 
Kwamba raha ya gari mlio, sipati picha wale wazee wa formular one racing itakuwa kimya kimya, lakini ndio hivyo technology ni kama mafuriko huwezi kuyazuia.

Nimetazama hio gari ya kichina inaiwa Li L8, ina maajabu sana, halafu na tech ni advanced sana, bei ipo chini kuanzia $46,000 kutoka kiwandani, sasa sie wazee wa kusubiri used nadhani kuna kipindi wau waazivuta kwa milioni 30 au 20.

Hii kampuni inakwenda kuua soko, wajuzi wanasema ni gari kali ambazo hazina uofauti na Tesla.
Ningekuwa na uwezo wa kuzuia hii technology ya EV's ningefanya hivyo aisee... Gari unatumia pedal moja Tu yaani ukikanyaga gari inatembea na ukiachia pedal inafunga breki hawa wazungu wanaipeleka wapi hii dunia.
Sipati picha haya magari ya umeme tukiletewa huku Africa yakiwa used sijui itakuaje kwenye upande wa betri
 
One-Pedal Driving ni feature unaichagua kwenye settings za gari za umeme kwenye ile screen ya infotainment, ni featute ambayo unaweza kuiweka on/off. Lakini gari inakuja na pedal ya brake na accelerator au gas pedal kama kawaida. Hata Tesla nimeona zina pedals kama gari za mafuta ambazo ni auto transmission.

Kumbuka kuna emergency brakes, kuna zile brake za haraka lazima utahitaji pedal ya brake.
 
Duh kama roketi.
Mzee baba hiyo unayoona imepigwa hilo gap ambalo katikati hapo unaweza kuvusha bibi kikongwe halafu ikaja kupita hiyo gari ya pili ndo namna crown ya 2gr ninayoitetea kwamba iko proper jinsi ilivyoachwa na 2jz gte iliyokuwa modified.
 
Crown speed limit ndio shida lakini kuchanganya hizi benz za C class haigusi acceleration ya Crown.
This is german vs german sasa hapo unadhani japanese zetu hizi zilizo bongo hapa zitakaribia???
 
Moja ya gari pendwa hapa mjini

Ni Executive sedan Inakupa kila kitu comfort,luxurious,performance&reliabilty!!

Ukiona nyingi ujue zinapendwa na affordable

Utagundua hata TRA wamezipandishia ushuru hii imepelekea hata resale value yake kuongezeka hivi

Karibuni wapenzi na wamiliki wa crown kene thread!View attachment 2434741

Everybody deserves a Crown [emoji146]

Drop your experience and picture [emoji1484]

[mention]Extrovert [/mention] our brand ambassador [emoji23][emoji91]View attachment 2434742
View attachment 2434743
View attachment 2434744
View attachment 2434745
View attachment 2434746
View attachment 2434747
View attachment 2434748
Ni gari inayofanya ujisikie vizuri ukiwa ndani yake, ila inaniudhi sana kwa jinsi ilivyo chini. Ukikutana na Zile bums pana zenye zebra juu hata nne tu kwa siku ni lazima urekebishe bumper.

Ova
 
Ni gari inayofanya ujisikie vizuri ukiwa ndani yake, ila inaniudhi sana kwa jinsi ilivyo chini. Ukikutana na Zile bums pana zenye zebra juu hata nne tu kwa siku ni lazima urekebishe bumper.

Ova

Hivi mbona mi hakuna sehemu ambayo crown bumps haipiti au kukwaruza.
Kweli ipo chini lkn sio kiasi icho kushindwa kupita bumps
 
Hahaha yaani gari yenye valves 5 per cylinder chamber uilinganishe na gari yenye 4 valves per cylinder. Hapo hata hiyo crown ukiidelimit speed haiwezi kugusa mziki wa hiyo merc.

Nmeangalia ile video
Ukweli lazima usemwe
Kene performance Germany machine tusilinganishe na hizi Japannese machine kama crown tunazionea[emoji28]

Kampuni kama BMW,Vw,Mercedes wanainvest saana kutengeneza performance engine sometimes wana overengineer ndo sababu engine zao zina faults nyingi kutokana na complexity

Katika maisha yangu ya ujana Golf MK6 lazima ntamiliki
Siku nkijisikia kunyanyasa watu barabarani [emoji23]
 
Back
Top Bottom