Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Huwa naambiwa washkaji zangu

Everybody deserves a Crown [emoji23]
Screenshot_20230927_153126_Chrome.jpg

Kama hii ina vitu mnavyovisema au sio
 
Features zake zipoje tukiingia tuwe na mzigo kamili

Jamaa alizisema hapo juu, ninazirudia

-seat heater
-memory seats
-shades
-sunroof(optional)
-leather seats
-cool box
-air purifier
-body kits(optional)

Hapo kwenye sunroof na body kits sio zote G package zinazo. Mfano ya kwangu haina sunroof, ila kuna mwana ni g package kama yangu ana sunroof.

Ila hizo features zinazobaki lazima ziwepo kwenye g package
 
Kwa hiyo tuachane na mjerumani et?
 
Kwa hiyo tuachane na mjerumani et?

Mjerumani ana ladha yake ila kwa bei features za crown g package ukizitafuta kwa mjerumani utazipata kwa gharama ya juu sana.

Mimi nina volkswagen polo pia, ka gari kadogo ila maintainance yake ipo juu sana.
Na sio reliable, siitegemei sana kwa safari, anaitumia wife, ndo nilikua natumia kabla sjanunua crown

Crown safari ni uhakika anytime, hazina magonjwa mengi kama wajerumani
 
Ahsante
 
Mkuu ni bridge stone mbele nyuma dunlop upande wa kushoto na wakulia ni continental ila zote vipara kasoro tyre moja so nikibadisha nikiweka mpya Dunlop au good year iyo kero itaisha
Kila mguu na tairi aina yake. Okota okota hiyo. Kwani bei ya mwisho unaiuza bei gani[emoji16][emoji16]
 
Mkuu mimi naona kawaida tu alafu ni 2.5 L

Haili mafuta wala nini ila mlimani nawasumbua chuma huwa inapanda kama vile inashuka yani unyama kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
hahaha una michuzi ndio maana unaona chuma haili sana wese,,,ila kiuhalisia 3gr na 3gr zinatafuna
 
Back
Top Bottom