Mfano :Adaptive Front-lighting System (AFS)
Hii features ni gari chache sana
Bei sijafatilia lakni hapo GS around 25m
Vipi fuel consumption yakeMimi yangu ni 4GR 4WD mimi yangu inakila kitu hakuna kitu nimemiss,ila hizi G package ni chache sanaaaaah mkuu kama unavyosema.
Huwa naambiwa washkaji zangu
Everybody deserves a Crown [emoji23]
View attachment 2768327
Kama hii ina vitu mnavyovisema au sio
Kirauni ni noma sana mzee wangu, hivi kwa 22m naweza kupata g packageUnamaanisha G-package?
Angalia kene site huwa wanaadika
Pia unaweza kuwauliza zile features kama inazo
-seat heater
-memory seats
-shades
-sunroof(optional)
-leather seats
-cool box
-air purifier
-body kits(optional)
Features zake zipoje tukiingia tuwe na mzigo kamiliCongratulations sana mkuu!
Pia inaonekana watu wengi hawajui tofauti hizi zilizopo kwenye crown za G package.
Maana nakuta wenzangu wanakua disappointed sana wanapoona za kwao hazina extra features. Wanasema dah laiti ningejua ningenunua kama yako
Kirauni ni noma sana mzee wangu, hivi kwa 22m naweza kupata g package
Features zake zipoje tukiingia tuwe na mzigo kamili
Kwa hiyo tuachane na mjerumani et?Jamaa alizisema hapo juu, ninazirudia
-seat heater
-memory seats
-shades
-sunroof(optional)
-leather seats
-cool box
-air purifier
-body kits(optional)
Hapo kwenye sunroof na body kits sio zote G package zinazo. Mfano ya kwangu haina sunroof, ila kuna mwana ni g package kama yangu ana sunroof.
Ila hizo features zinazobaki lazima ziwepo kwenye g package
Kwa hiyo tuachane na mjerumani et?
AhsanteMjerumani ana ladha yake ila kwa bei features za crown g package ukizitafuta kwa mjerumani utazipata kwa gharama ya juu sana.
Mimi nina volkswagen polo pia, ka gari kadogo ila maintainance yake ipo juu sana.
Na sio reliable, siitegemei sana kwa safari, anaitumia wife, ndo nilikua natumia kabla sjanunua crown
Crown safari ni uhakika anytime, hazina magonjwa mengi kama wajerumani
Vipi fuel consumption yake
Kila mguu na tairi aina yake. Okota okota hiyo. Kwani bei ya mwisho unaiuza bei gani[emoji16][emoji16]Mkuu ni bridge stone mbele nyuma dunlop upande wa kushoto na wakulia ni continental ila zote vipara kasoro tyre moja so nikibadisha nikiweka mpya Dunlop au good year iyo kero itaisha
Kila mguu na tairi aina yake. Okota okota hiyo. Kwani bei ya mwisho unaiuza bei gani[emoji16][emoji16
InafanyejeGearbox ndo mchawi
hahaha una michuzi ndio maana unaona chuma haili sana wese,,,ila kiuhalisia 3gr na 3gr zinatafunaMkuu mimi naona kawaida tu alafu ni 2.5 L
Haili mafuta wala nini ila mlimani nawasumbua chuma huwa inapanda kama vile inashuka yani unyama kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
hahaha una michuzi ndio maana unaona chuma haili sana wese,,,ila kiuhalisia 3gr na 3gr zinatafunaMkuu mimi naona kawaida tu alafu ni 2.5 L
Haili mafuta wala nini ila mlimani nawasumbua chuma huwa inapanda kama vile inashuka yani unyama kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]