RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hapo kabla hujaamua kuvuruga mipango yangu.....Mishale ya wese iko juu hewani usawa huu mkuu 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kabla hujaamua kuvuruga mipango yangu.....Mishale ya wese iko juu hewani usawa huu mkuu 🤣
Mkuu nisingekufikia ningeumia sana. Kutembelea 7kmpl kutoka Msata si mchezo.Hapo kabla hujaamua kuvuruga mipango yangu.....
Tank la gari yako ni lita ngapi?Mkuu nisingekufikia ningeumia sana. Kutembelea 7kmpl kutoka Msata si mchezo.
Sijazagi mafuta Dar - Moshi ila ilibidi nisalimu amri pale korogwe niweke mkojo wa mwarabu nimwagw moto.
Anyway mara moja moja sio mbaya sasa tunajua Korogwe - Msata chini ya masaa mawili inawezekana
Tank la gari yako ni lita ngapi?
Unafika arusha zimebaki lita ngapi kwenye tank?
Yani kiwango cha chini kilometa 60 kwa siku sasa kwanini matumizi yako yasiwe makubwa ?Sasa si inategemea unatembea kilometers ngapi kwa siku. My fuel bill kwa mwezi ni tzs 500,000 natumia hio Crown. Kwasiku natembea at least 60km
Unafika arusha zimebaki lita ngapi kwenye tank?
Au unatumia jumla lita ngapi mpaka arusha?
Yani kiwango cha chini kilometa 60 kwa siku sasa kwanini matumizi yako yasiwe makubwa ?
Ulaji wa gari wa mafuta unategemea uzima wa gari na matumizi binafsi
Acha maneno mengi. Hio highway labda uendeshe 80-100kph ndio update hio. Na ulichoweka hapo sio average hio ni flactuating inaweza kusoma hata 30kpl.
Natumia hio gari kusafiri mwaka wa tatu hii iko kwenye best condition kabisa. Hapa penyewe Jana ninekuja Moshi nimetembea na ndugu yangu ISO M.CodD
Sawa.Tunachozungumzia hapa ni uwezo wa gari kufikisha 13km/L barabara unayotumia na speed doesn’t matter
Sasa we unachokataa ni nini?
Mdau alisema crown haiwezi kufikisha 13km/L akaomba ushahidi.pitia comment kabla hujaleta ubishi
Na hii average nmeipata morogoro-dodoma tena usiku
Speed yangu ni 90-110 nkapata iyo avarage
Narudia tena 4GR inafikisha mpk 13km/L.
Itategemea na gari yako,barabara na uendeshaji wako basi.sitaendelea na huu ubishi kwani mwisho wa siku hata tukibishana hakuna tunachofaidika
Ofcoz hata mimi kuna mda napata mpka 7km/L
Hivi unatumia akili? Unategemea ningekuwa na Vitz hizo 60km kwa siku fuel bill ingefika 500k?Yani kiwango cha chini kilometa 60 kwa siku sasa kwanini matumizi yako yasiwe makubwa ?
Ulaji wa gari wa mafuta unategemea uzima wa gari na matumizi binafsi
Tuwaache hawa watoto na ujinga wao. Hawajui wengine wakati tunaanza kuchezea magari hata hawajazaliwa.Wewe hujawahi kufikisha laki tatu kwasababu hutembei sana na gari. Haimaanishi gari haili mafuta.
Unaposifia gari haili mafuta usitaje jumla ya mwezi bila ya kutaja na kilomita unazotembea, inakuwa story haijabalance ndio maana ameibalance hapo.
Kurudi huwa natoboa na tank moja Dar Moshi.Tank linaenda 700km nikicruise around 130kmph au hata 800 km on perfect days and fairly flat roads. Mara nyingi nafanyaga hivyo kwenye T1 au barabara ya Dar - Dodoma - Lake zone.
Naamini Arusha - Dar tank moja linaweza japo sijawahi kujaribu kupush hilo. Labda nijaribu nikiwa narudi this time tuone.
Unageuka leo sio?Kurudi huwa natoboa na tank moja Dar Moshi.
Gx 100 au ile 110.?Naombeni kijua ulaji wa mafuta kati ya crown athlete na gx100 utofaut wake
GX 100Gx 100 au ile 110.?