Toyota Crown Majesta second generation S180

fredo fred

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
748
Reaction score
1,615
Hii gari ina 3UZ-FE V8 engine

Ina cc4300 [emoji3][emoji3] hapa tu ndo linatisha maana [emoji618] ni balaa
Ina toa power up to 300bhp
Wazee wa mwendo kama holyman,Extrovert,Purezeiss etc hii inawafaa sana mnafuta kisahani
Inatumia petrol [emoji618]
Iko comfortable sana [emoji592]
Gari ya uchumi wa juu hii sie wa uchumi wa kati acha tutumie passo zetu za kuazima[emoji3][emoji3]
Ongezea sifa nyingine za hii gari.

[emoji3591]NB. Picha kwa hisani ya watu wa facebook.

 
Hiyo ndinga Bana juzi nilipaki karibu yake ikabidi niulize kuhusu fuel consumption Kwa Dereva aliyekuwa anaendesha akaniambia kuwa ameweka mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata Kimanga na alipofika Kariakoo kupaki na taa ilikuwa inawaka.

Haya Magari kama unasafiri Safari ndefu sidhani Kama huko njiani kuna Chuma itakatiza mbele yako.
 
Kakupanga.
 
Alafu hata Mimi nilihisi jamaa ananipanga Tu pia yeye ni Dereva Tu na sio mmiliki wa gari.
Gari hata liwe jini kiasi gani hailewezi kuwaka taa Kwa mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata - Kariakoo
Majini yapo hapa mjini na yanaendeshwa na watanzania kama mimi na wewe. Ni wajinga kiasi gani kwenda na kurudi mjini kwa 60k?
 
Kakupiga huyo linakula wese sio kwa namna hiyo
 
Sasa mkuu 30,000 ni Lita 15. Ukitoka Tegeta hadi Kariakoo ni km kama 30! Taa itawaka tu hana maana kuwa mafuta yameisha.
Kiberiti changu cha cc2000 taa inawaka mafuta yakibaki ya km50.
Kama naenda mwanza.. kwa hayo mahesabu itanitoka shilingi ngapi mkuu ? Najua kuna mwaba mmoja ana range sasa siju nae huwa ananiokota, sijakaa kufatilia.. huwa ananiambia hadi morogoro buwa anafukia kama 300,000 au 250,000.. huwa nasema sawa.. hongera πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…