Toyota Crown Majesta second generation S180

Toyota Crown Majesta second generation S180

Crown Majesta hamna Hybrid hata moja.

Engine kuwa VVTi siyo ndo haitalamba mafuta.

Shughuli iko palepale.
Kuna sehemu nilisoma Majesta zipo zenye 3UR ukiachana na hizi zenye 3UZ .. umeishwahi kutananazo zote kati ya hizo ?
 
Nashindwa kuelewa kwann madereva wengi sikuhizi wanatest speed Magari Yao Kwenye hii flyover ya kijazi?
Nahisi hili ndiyo eneo pekee Kwa barabara zetu za DAR ambalo unaweza kupata speed 140 Kwa gari ambalo linachanganya fasta
Pale mkeka umetulia mzee no tuta.. pia kuna nyakati panakuwa free kabisa.. kutoke tiver side hadi mlimani city.. kwanini usiki washe.. pale pale. Pia kuna siku nimekiwasha na Golf GTI .. nilimchapa mchap mchap nilivyoshusha goti hadi ilivyo enda gota 180.. tulikutana kwenye parking ya m.city
 
Alafu hata Mimi nilihisi jamaa ananipanga Tu pia yeye ni Dereva Tu na sio mmiliki wa gari.
Gari hata liwe jini kiasi gani hailewezi kuwaka taa Kwa mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata - Kariakoo
Executive sedans kama hii Crown tank capacity yake ni lita 60 hadi lita 75. Kwa hiyo 30000/= ni zaidi kidogo ya lita 10 ambayo ni almost reserve. Kama wakati ameweka wese Tabata taa ilishawaka, basi siyo ajabu kuwa ikawaka by the time yuko Kariakoo.
 
Hii gari ina 3UZ-FE V8 engine

Ina cc4300 [emoji3][emoji3] hapa tu ndo linatisha maana [emoji618] ni balaa
Ina toa power up to 300bhp
Wazee wa mwendo kama holyman,Extrovert,Purezeiss etc hii inawafaa sana mnafuta kisahani
Inatumia petrol [emoji618]
Iko comfortable sana [emoji592]
Gari ya uchumi wa juu hii sie wa uchumi wa kati acha tutumie passo zetu za kuazima[emoji3][emoji3]
Ongezea sifa nyingine za hii gari.

[emoji3591]NB. Picha kwa hisani ya watu wa facebook.

View attachment 1740597
Ni VVt-i lakini
 
Huenda labda maana mie huwa naflash tu
Huwa naingia m.city kama nipo kwenye mashindano hasa nikiwa natoka pale kivulini brake sizije fail maana mmh😀😀😀.. hata pale kwenye enrty kama wamenikalili ikiwa hata mchana nanyooka tu nachukua ka card ndani
 
Back
Top Bottom