Toyota Crown Majesta second generation S180

Toyota Crown Majesta second generation S180

Kama naenda mwanza.. kwa hayo mahesabu itanitoka shilingi ngapi mkuu ? Najua kuna mwaba mmoja ana range sasa siju nae huwa ananiokota, sijakaa kufatilia.. huwa ananiambia hadi morogoro buwa anafukia kama 300,000 au 250,000.. huwa nasema sawa.. hongera 😀😀😀
Highway hainywi labda uwe unatembea muda wote 160-180kph.
 
Hiyo gari nimeshaitumia Kama Wiki hivi nilifanya Safari ndefu,inatumia umeme zaidi hivyo ulaji wake ni sawa na gari za CC 2400-2500

Chuma ya kwenda Mlimani - Kijazi flyover 180KPH imeisha
Nashindwa kuelewa kwann madereva wengi sikuhizi wanatest speed Magari Yao Kwenye hii flyover ya kijazi?
Nahisi hili ndiyo eneo pekee Kwa barabara zetu za DAR ambalo unaweza kupata speed 140 Kwa gari ambalo linachanganya fasta
 
Back
Top Bottom