Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Unataka 240?Jamaa wanachokera ni kuweka limit 180kph ambayo ndani ya dakika mbili umemaliza! It's not fair.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka 240?Jamaa wanachokera ni kuweka limit 180kph ambayo ndani ya dakika mbili umemaliza! It's not fair.
Kuna majesta zenye 240 ?Unataka 240?
Ni nomaaaIkikosea njia na ikatoka kule juu kwa kijazi, itapaa hadi kimara baruti 😀😀😀😀😀😀😀
akielewa niliyemqoute inatoshaKuna majesta zenye 240 ?
Mkuu hio ni Hybrid au? Tufafanulie hapo kwenye umeme zaidi.Hiyo gari nimeshaitumia Kama Wiki hivi nilifanya Safari ndefu,inatumia umeme zaidi hivyo ulaji wake ni sawa na gari za CC 2400-2500
Highway hainywi labda uwe unatembea muda wote 160-180kph.Kama naenda mwanza.. kwa hayo mahesabu itanitoka shilingi ngapi mkuu ? Najua kuna mwaba mmoja ana range sasa siju nae huwa ananiokota, sijakaa kufatilia.. huwa ananiambia hadi morogoro buwa anafukia kama 300,000 au 250,000.. huwa nasema sawa.. hongera 😀😀😀
Wengi wao ni waongo tuKama naenda mwanza.. kwa hayo mahesabu itanitoka shilingi ngapi mkuu ? Najua kuna mwaba mmoja ana range sasa siju nae huwa ananiokota, sijakaa kufatilia.. huwa ananiambia hadi morogoro buwa anafukia kama 300,000 au 250,000.. huwa nasema sawa.. hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
Utasikia inanusa tu,kisa kaona hiko kinembo cha vvti,gusa unate[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1740601
Ndio mkuuMkuu hio ni Hybrid au? Tufafanulie hapo kwenye umeme zaidi.
Crown Majesta hamna Hybrid hata moja.Ndio mkuu
Hawa ndio wale wanadanganyana umeme mwingi huku gari sio hybrid.Crown Majesta hamna Hybrid hata moja.
Engine kuwa VVTi siyo ndo haitalamba mafuta.
Shughuli iko palepale.
Ndio mkuu
Labda jamaa hajui maana ya Hybrid.Crown Majesta hamna Hybrid hata moja.
Engine kuwa VVTi siyo ndo haitalamba mafuta.
Shughuli iko palepale.
Hivi kuna gari ina bleed?Labda jamaa hajui maana ya Hybrid.
Hiyo gari nimeshaitumia Kama Wiki hivi nilifanya Safari ndefu,inatumia umeme zaidi hivyo ulaji wake ni sawa na gari za CC 2400-2500
Nashindwa kuelewa kwann madereva wengi sikuhizi wanatest speed Magari Yao Kwenye hii flyover ya kijazi?Chuma ya kwenda Mlimani - Kijazi flyover 180KPH imeisha
Pale si hamnaga taa kwa kipande chote toka taa za TCRA paleNashindwa kuelewa kwann madereva wengi sikuhizi wanatest speed Magari Yao Kwenye hii flyover ya kijazi?
Nahisi hili ndiyo eneo pekee Kwa barabara zetu za DAR ambalo unaweza kupata speed 140 Kwa gari ambalo linachanganya fasta
Hatari Sana Kwenye hiyo flyoverIkikosea njia na ikatoka kule juu kwa kijazi, itapaa hadi kimara baruti 😀😀😀😀😀😀😀