Toyota Crown Majesta second generation S180

Crown Majesta hamna Hybrid hata moja.

Engine kuwa VVTi siyo ndo haitalamba mafuta.

Shughuli iko palepale.
Kuna sehemu nilisoma Majesta zipo zenye 3UR ukiachana na hizi zenye 3UZ .. umeishwahi kutananazo zote kati ya hizo ?
 
Nashindwa kuelewa kwann madereva wengi sikuhizi wanatest speed Magari Yao Kwenye hii flyover ya kijazi?
Nahisi hili ndiyo eneo pekee Kwa barabara zetu za DAR ambalo unaweza kupata speed 140 Kwa gari ambalo linachanganya fasta
Pale mkeka umetulia mzee no tuta.. pia kuna nyakati panakuwa free kabisa.. kutoke tiver side hadi mlimani city.. kwanini usiki washe.. pale pale. Pia kuna siku nimekiwasha na Golf GTI .. nilimchapa mchap mchap nilivyoshusha goti hadi ilivyo enda gota 180.. tulikutana kwenye parking ya m.city
 
Alafu hata Mimi nilihisi jamaa ananipanga Tu pia yeye ni Dereva Tu na sio mmiliki wa gari.
Gari hata liwe jini kiasi gani hailewezi kuwaka taa Kwa mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata - Kariakoo
Executive sedans kama hii Crown tank capacity yake ni lita 60 hadi lita 75. Kwa hiyo 30000/= ni zaidi kidogo ya lita 10 ambayo ni almost reserve. Kama wakati ameweka wese Tabata taa ilishawaka, basi siyo ajabu kuwa ikawaka by the time yuko Kariakoo.
 
Ni VVt-i lakini
 
Huenda labda maana mie huwa naflash tu
Huwa naingia m.city kama nipo kwenye mashindano hasa nikiwa natoka pale kivulini brake sizije fail maana mmhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. hata pale kwenye enrty kama wamenikalili ikiwa hata mchana nanyooka tu nachukua ka card ndani
 
VVT-i inaflex na throttle pressure tu, ukiwa na mguu mwepesi aikupigi sana ila ukiwa mkandamizaji inakukandamija mwana wane
Huwe na majesta, mguu uwe mwepesi ili iweje mkuu πŸ˜€πŸ˜€.. labda kama upo posta.. ila upo kwenye njia imenyooka lazima mguu uende down.. umekuja juu kuna nyange nyange au maloli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…