Toyota Crown Majesta second generation S180

Muachie naby atembelee.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hakuna watu wenye matumizi mabaya ya mafuta kama wanawake.. unaweza weka full tanj, jioni yanarudi nusu kikombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yani nimpe demu hilo jini
 
Alafu hata Mimi nilihisi jamaa ananipanga Tu pia yeye ni Dereva Tu na sio mmiliki wa gari.
Gari hata liwe jini kiasi gani hailewezi kuwaka taa Kwa mafuta ya tsh 30000 kutoka Tabata - Kariakoo
Kakupanga vibaya sana boya huyo izo ni lita 16 kwa iyo ela labda lina engine ya trekta........
 
4.6l inakupa 381 hp.

Ndo maana napenda gari zenye turbo.

2.0l inaweza kupa 380 - 400 hp. Saving fuel consumption, plus top speed ya zaidi ya 240kph.

Full burudani.
Gari ya turbo sizependi hata bure ukinipata nitauza au nahonga
 
Akiendesha gari yangu basi jua nipo kushoto, wanawake ni wazembe sana barabarani
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Usiendeshwe na mtu usie muamini, maana anaweza kulibamiza makuamia. Mtu ukiwa humuamini hata siku moja usimuachie chombo.. bora aendeshe yeye na marafiki zake kama kufa wafe wao mie hapo sipo zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…