Toyota Crown Majesta second generation S180

Toyota Crown Majesta second generation S180

😀😀😀 Usiendeshwe na mtu usie muamini, maana anaweza kulibamiza makuamia. Mtu ukiwa humuamini hata siku moja usimuachie chombo.. bora aendeshe yeye na marafiki zake kama kufa wafe wao mie hapo sipo zangu
Hahahah uzuri hawezi kufika speed 80 maana muoga sana
 
Labda wanafikiri taa ikiwaka maanake mafuta yameisha.
Kawaida gari nyingi kuanzia taa kuwaka mpaka gari kuzima kwa kuisha mafuta ni km 100, wastani wa lita 10 hivi. Na by default wanatengeneza mfumo ambao hautanyonya mafuta hadi chini kabisa ya tanki kwa sababu ndipo kwa sababu zozote uchafu wote utakaa huko.
 
Uzuri ukiwa unakimbiza gari wazo la kufa huwaga halipo kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. wala hofu
haliwezi kuwepo mkuu, labda urushe macho kwenye speedometer ndio utashtuka kidogo otherwise ni mwendo wa supersonic[emoji23]
 
0506440A30210307W00110.jpg
0506440A30210307W00115.jpg
 
Ni sawa na nchi kama Uswiss imiliki makombora ya masafa marefu.

Ukiwa na hii gari na huifikishi to the maximum ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Hii kuifikisha to the maximum muhimu, ila jua njia nzima utakuwa ni peke yako hakuna ushindani wowote utapata
 
Ngoma kama hii unaanzia zero mille.. unajisikiaje yani [emoji3][emoji3][emoji3] kitu 600HP

View attachment 1741348
[emoji23][emoji109][emoji109]daaah maisha haya tupambane tusichoke kuisaka pesa mkuu though nimecheka sana huko nyuma kipindi cha ujana nilivuta alteza 3S-GE nikawa nalala humo humo ndani ule mzuka achana nao kabisa na haikumaliza mwaka nikaipiga bei nikaongeza mshiko nikarukia 3series 320i sasaiv tumekuwa watu wazima mzuka tunapunguza kidogo but magari hasa european cars ni matamu sana
 
V8? Ulimaanisha Landcruiser V8?...mkuu Landcruiser V8 uwe na 300M+ ba hiyo Majesta used sidhani kama inafika 50M
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa ma cc hayo alafu gari yenyewe iko chini namna hiyo!

Cc hizo zinafaa uwe na kitu kama hiyo landcruiser, popote inakupeleka.

Kagari ka chini namna hiyo kwangu isizidi cc 2000
 
Back
Top Bottom