RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hata Mimi naona ni matumizi mabaya ya rasilimali kutumia VXR ya 300m wakati kuna Vitz ya 6.5mBinafsi naona ni matumizi mabaya ya rasilimali kuwa na gari linalotumia 15l/100km (petrol) wakati naweza tumia gari linalonipa 8l/100km.