Toyota crown royal saloon vs subaru regency b4

Toyota crown royal saloon vs subaru regency b4

I need to be more comfortable with crown amenities while spending less fuel

Kuna kitu kinaitwa Power to body weight ratio. Huwezi tumia engine yenye Horse power 102 kusukuma uzito wa tani 1.67. Engine ya vitz ipo designed kusukuma uzito usiozidi kg 800.

So comfortability is direct proportional to mpunga. Unataka uwe comfortable toa hela, kama huna hela then pambana na hali yako.
 
Sasa baba unaonaje ununue tu hiyo hiyo vitz ndio ingependeza zaidi
Kuuliza si ujinga

Hivi kama engine ya crown ambayo ni v6 imezingua na unataka ubadili engine kwa kuweka engine ya 1G-FE vvti beams 2000 itakubali?

Kama itakubali nipe faida na hasara zake na ya ziada mengine kama yapo.

Thanks
 
Kuuliza si ujinga

Hivi kama engine ya crown ambayo ni v6 imezingua na unataka ubadili engine kwa kuweka engine ya 1G-FE vvti beams 2000 itakubali?

Kama itakubali nipe faida na hasara zake na ya ziada mengine kama yapo.

Thanks

Kama itakaa kwenye body naelewa itabidi ubadili na gearbox labda na mambo mengine kama control box. Ila kwa uwezo wa kusukuma hiyo gari inayo
 
Mkuu kama bado hujachukua hizi options mbili..chukua hii kitu..kinauzwa mil 19 ila kuna jamaa anauza mil 16 mpya kbsa..a beast..nichek pm nikupe details za io gari utapagawa..
 

Attachments

  • tapatalk_1514963495610.jpeg
    tapatalk_1514963495610.jpeg
    137 KB · Views: 202
nena kaka tukusuikie wewe
Ukisema Crown na Subaru legacy b4 sio gari za safari inashangaza sana.. 4GR, 3GR, 2GR V6 sio mashine ya safari🤣🤣 mimi nikimuona mtu ananunua Crown na safari zake ni kuzunguka mjini tu naona haitendei haki hyo mashine.
 
mjini zinazid kujaa tu crowns kila kona chukua ata nissan sedans zipo kali tu kama skyline teana fuga eeh ujerumani kidogo vi WVs eh bhana
 
Back
Top Bottom