mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
Lengo ni kubana budget ya mafuta au??Huwez kuiweka engine ya vits???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo ni kubana budget ya mafuta au??Huwez kuiweka engine ya vits???
Yes sonLengo ni kubana budget ya mafuta au??
Sasa baba unaonaje ununue tu hiyo hiyo vitz ndio ingependeza zaidiYes son
I need to be more comfortable with crown amenities while spending less fuelSasa baba unaonaje ununue tu hiyo hiyo vitz ndio ingependeza zaidi
OK,,,ngoja tuwasubir mafundi wajeI need to be more comfortable with crown amenities while spending less fuel
I need to be more comfortable with crown amenities while spending less fuel
Kuuliza si ujingaSasa baba unaonaje ununue tu hiyo hiyo vitz ndio ingependeza zaidi
Comfortability ipo kwenye crown [emoji146]
Safar zote hapo hamna kitu mzee.labda safari ukimaanisha dar-tanga, dar bagamyo au dar Moro.
Kuuliza si ujinga
Hivi kama engine ya crown ambayo ni v6 imezingua na unataka ubadili engine kwa kuweka engine ya 1G-FE vvti beams 2000 itakubali?
Kama itakubali nipe faida na hasara zake na ya ziada mengine kama yapo.
Thanks
Kwahyo hii Subaru lita moja unaenda I'm ngap?
Kwahyo hii Subaru lita moja unaenda I'm ngap?
We mwongo
Haujui unacho kinenaComfortability ipo kwenye crown [emoji146]
Safar zote hapo hamna kitu mzee.labda safari ukimaanisha dar-tanga, dar bagamyo au dar Moro.
nena kaka tukusuikie weweHaujui unacho kinena
Ukisema Crown na Subaru legacy b4 sio gari za safari inashangaza sana.. 4GR, 3GR, 2GR V6 sio mashine ya safari🤣🤣 mimi nikimuona mtu ananunua Crown na safari zake ni kuzunguka mjini tu naona haitendei haki hyo mashine.nena kaka tukusuikie wewe
Nashauri ufunge engine ya Boxer, lita 5 umefika Moro while upo comfortable with Crown amenitiesI need to be more comfortable with crown amenities while spending less fuel