Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
mazinda yako umeshaichoka nn? sasa unataka gari iyo iyo mjini itambe na kijijini iwe bora huoni ni pesa iyo. yan kwa haraka haraka kichwani inakuja fortuner 😆, Amaro eh pathfinder.harrier zile za 2006 mbaya sana na zile lexus hauta weza bei. subbie za nyuma zipo poa bei sio kali na muonekano mzuri sio tofauti sana la latestMkuu Mbona una masihara hivyo, gari ya mwaka 2019 naiwezea wapi kwa usawa huu wa mjomba magu
Mimi nina subaru forester 2010...kwa stability...kweli iko stable,na nadhan zaid ya harrier,koz pia harrier nimeshasafir nayo umbal mrefu ( 800km)..inatulia sana barabarani kwenye mwendo kas mkubwa (140km/h au zaid).Wakuu wa jamvi habari zenu,
Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.
Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani
Mkuu nashkuru kwa maelezo mazuri ya kina. Kiukweli naanza kuvutika zaidi na hii gari kuliko harrier.Mimi nina subaru forester 2010...kwa stability...kweli iko stable,na nadhan zaid ya harrier,koz pia harrier nimeshasafir nayo umbal mrefu ( 800km)..inatulia sana barabarani kwenye mwendo kas mkubwa (140km/h au zaid).
Mafuta nadhani pia sio mbaya,koz engine yake ni 1990cc chini kidogo ya harrier,lkn pia uendeahaji wako hapa una matter zaid.
Kuhusu spare parts,bei za spare za subaru ziko juu zaid ya harrier, mathalani kama hii ya 2010,nimetafuta ABS motor hapa dar zaid ya mwezi..zipo ila pale kwenye tred za kufungia zote zimekataa,imebidi tuagize nje..taa moja ya mbele ni 1m incase ukaipasua, ni ghari inayohitaj adabu sana.
Cha mwisho,body za subaru ni alluminium,ukiharibu kitu kama bonnet,utaweza lazimika badilisha ili upate muonekano mzuri,so nasisitiza..subaru forester hiz za kuanzia 2008,zinahitaj umakiini kweli...sijawahi jutia kununua subaru.
sijawahi kumiliki mazda. Nina impreza kwa sasamazinda yako umeshaichoka nn? sasa unataka gari iyo iyo mjini itambe na kijijini iwe bora huoni ni pesa iyo. yan kwa haraka haraka kichwani inakuja fortuner [emoji38], Amaro eh pathfinder.harrier zile za 2006 mbaya sana na zile lexus hauta weza bei. subbie za nyuma zipo poa bei sio kali na muonekano mzuri sio tofauti sana la latest
Subaru forester,harrier tako la nyani,vanguard,kluger
Mmoja hapo naruka nae soon
Mtokoni iko Poa tu sema Vijana wa siku hizi mnajishtukia. Hiyo ni multpurpose car na haiwezi kukulaza njiani na pia haichagui barabara.Mkuu nashkuru sana kwa mchango ila lengo ni kupata multipurpose car, nikitaka kwenda shamba nakwenda nalo, nikitaka kwenda mtoko na baby bhasi gari pia hainiangushi. Hii uliyoweka Nadhani shamba its fine ila mtokoni itaniangusha boss.
Mkuu,Kama unataka gari ya kwenda shamba chukua hii hapa. Ni Mid Size SUV Ila ina four wheel kali sana.
Hizo ulizoweka hapa ni nzuri lakini sio gari ya kwenda shamba
Hujaelewa nini sasa?!Mkuu,
Gari ni either iwe na 4WD au isiwe nayo. Na zenye 4WD ni either full time au optional.
Sasa 4WD ambayo ni "Kali Sana" unamaanishaje hapo mkuu?
Wewe hujaelewa swali langu? Mbona liko wazi tuHujaelewa nini sasa?!
Nadhani alichomaanisha ni kuwa kuna gari 4WD yake inaweza kushindwa kupita sehemu ya kizembe..Mkuu,
Gari ni either iwe na 4WD au isiwe nayo. Na zenye 4WD ni either full time au optional.
Sasa 4WD ambayo ni "Kali Sana" unamaanishaje hapo mkuu?
Forester all the way.. tena ya turbo XTWakuu wa jamvi habari zenu,
Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.
Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani
Outback ni legacy in the american market kama sikoseiebu ichek na subaru outback mkuu
4WD ni tairi zote nne kuzungushwa na Engine kupitia Gearbox. Sasa hapo ambapo Gari yenye 4WD inaposhindwa kupita inakua ni hizo 2 zenye zimeongezeka zinakua zinagoma kuzunguka au ni vip labda?Nadhani alichomaanisha ni kuwa kuna gari 4WD yake inaweza kushindwa kupita sehemu ya kizembe..
Lakini kuna nyingine kama hiyo Suzuki, Subaru, Xtrai....4WD zake hazijawahi kuwaangusha watumiaji...
we legacy mbona zipo tofauti sana bosiOutback ni legacy in the american market kama sikosei
Soko la marekani magari hubadilishwa sana majina chief, Ila I stand correctedwe legacy mbona zipo tofauti sana bosi
legacy na outback ziko tofa na uti mkuuSoko la marekani magari hubadilishwa sana majina chief, Ila I stand corrected
....nadhani pia suala la teknolojia linahusika hapa....4WD ni tairi zote nne kuzungushwa na Engine kupitia Gearbox. Sasa hapo ambapo Gari yenye 4WD inaposhindwa kupita inakua ni hizo 2 zenye zimeongezeka zinakua zinagoma kuzunguka au ni vip labda?
Au ni zote nne zinazunguka ila zinateleza tu hapo hapo bila Kwenda mbele?