Mimi nina subaru forester 2010...kwa stability...kweli iko stable,na nadhan zaid ya harrier,koz pia harrier nimeshasafir nayo umbal mrefu ( 800km)..inatulia sana barabarani kwenye mwendo kas mkubwa (140km/h au zaid).
Mafuta nadhani pia sio mbaya,koz engine yake ni 1990cc chini kidogo ya harrier,lkn pia uendeahaji wako hapa una matter zaid.
Kuhusu spare parts,bei za spare za subaru ziko juu zaid ya harrier, mathalani kama hii ya 2010,nimetafuta ABS motor hapa dar zaid ya mwezi..zipo ila pale kwenye tred za kufungia zote zimekataa,imebidi tuagize nje..taa moja ya mbele ni 1m incase ukaipasua, ni ghari inayohitaj adabu sana.
Cha mwisho,body za subaru ni alluminium,ukiharibu kitu kama bonnet,utaweza lazimika badilisha ili upate muonekano mzuri,so nasisitiza..subaru forester hiz za kuanzia 2008,zinahitaj umakiini kweli...sijawahi jutia kununua subaru.