Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Mkuu Mbona una masihara hivyo, gari ya mwaka 2019 naiwezea wapi kwa usawa huu wa mjomba magu
mazinda yako umeshaichoka nn? sasa unataka gari iyo iyo mjini itambe na kijijini iwe bora huoni ni pesa iyo. yan kwa haraka haraka kichwani inakuja fortuner 😆, Amaro eh pathfinder.harrier zile za 2006 mbaya sana na zile lexus hauta weza bei. subbie za nyuma zipo poa bei sio kali na muonekano mzuri sio tofauti sana la latest
 
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.

Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani

View attachment 1593241
Toyota Harrier Matako ya Nyani

View attachment 1593242
Subaru Forester TX

Mimi nina subaru forester 2010...kwa stability...kweli iko stable,na nadhan zaid ya harrier,koz pia harrier nimeshasafir nayo umbal mrefu ( 800km)..inatulia sana barabarani kwenye mwendo kas mkubwa (140km/h au zaid).
Mafuta nadhani pia sio mbaya,koz engine yake ni 1990cc chini kidogo ya harrier,lkn pia uendeahaji wako hapa una matter zaid.
Kuhusu spare parts,bei za spare za subaru ziko juu zaid ya harrier, mathalani kama hii ya 2010,nimetafuta ABS motor hapa dar zaid ya mwezi..zipo ila pale kwenye tred za kufungia zote zimekataa,imebidi tuagize nje..taa moja ya mbele ni 1m incase ukaipasua, ni ghari inayohitaj adabu sana.
Cha mwisho,body za subaru ni alluminium,ukiharibu kitu kama bonnet,utaweza lazimika badilisha ili upate muonekano mzuri,so nasisitiza..subaru forester hiz za kuanzia 2008,zinahitaj umakiini kweli...sijawahi jutia kununua subaru.
 
Mkuu nashkuru kwa maelezo mazuri ya kina. Kiukweli naanza kuvutika zaidi na hii gari kuliko harrier.
 
mazinda yako umeshaichoka nn? sasa unataka gari iyo iyo mjini itambe na kijijini iwe bora huoni ni pesa iyo. yan kwa haraka haraka kichwani inakuja fortuner [emoji38], Amaro eh pathfinder.harrier zile za 2006 mbaya sana na zile lexus hauta weza bei. subbie za nyuma zipo poa bei sio kali na muonekano mzuri sio tofauti sana la latest
sijawahi kumiliki mazda. Nina impreza kwa sasa
 
Mkuu nashkuru sana kwa mchango ila lengo ni kupata multipurpose car, nikitaka kwenda shamba nakwenda nalo, nikitaka kwenda mtoko na baby bhasi gari pia hainiangushi. Hii uliyoweka Nadhani shamba its fine ila mtokoni itaniangusha boss.
Mtokoni iko Poa tu sema Vijana wa siku hizi mnajishtukia. Hiyo ni multpurpose car na haiwezi kukulaza njiani na pia haichagui barabara.
Na ukipata manual gear utafurahi sana
 
Mkuu,
Gari ni either iwe na 4WD au isiwe nayo. Na zenye 4WD ni either full time au optional.

Sasa 4WD ambayo ni "Kali Sana" unamaanishaje hapo mkuu?
Nadhani alichomaanisha ni kuwa kuna gari 4WD yake inaweza kushindwa kupita sehemu ya kizembe..

Lakini kuna nyingine kama hiyo Suzuki, Subaru, Xtrai....4WD zake hazijawahi kuwaangusha watumiaji...
 
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.

Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani

View attachment 1593241
Toyota Harrier Matako ya Nyani

View attachment 1593242
Subaru Forester TX

Forester all the way.. tena ya turbo XT
 
Nadhani alichomaanisha ni kuwa kuna gari 4WD yake inaweza kushindwa kupita sehemu ya kizembe..

Lakini kuna nyingine kama hiyo Suzuki, Subaru, Xtrai....4WD zake hazijawahi kuwaangusha watumiaji...
4WD ni tairi zote nne kuzungushwa na Engine kupitia Gearbox. Sasa hapo ambapo Gari yenye 4WD inaposhindwa kupita inakua ni hizo 2 zenye zimeongezeka zinakua zinagoma kuzunguka au ni vip labda?

Au ni zote nne zinazunguka ila zinateleza tu hapo hapo bila Kwenda mbele?
 
Sijawahi endesha harrier lakini Chukua subaru iko vizuri sana, hautumii nguvu kukanyaka Mafuta, haiyumbi marabarani ipo comfortable sana mm ninayo ya 2010 cc 2457 turbo speed 240kh ukiamua kutembea unatembea, Mafuta wastani wa lita1 kwa 8km, ila ya cc 1990 ni Mafuta kidogo.
 
Soko la marekani magari hubadilishwa sana majina chief, Ila I stand corrected
legacy na outback ziko tofa na uti mkuu
gari zingine sawa majina hubadilishwa na muonekano kidogo lakin still kimuonekano zinafana kiasi mfano kluger na highilander. sasa legacy ni sedan outback semi suv
 
4WD ni tairi zote nne kuzungushwa na Engine kupitia Gearbox. Sasa hapo ambapo Gari yenye 4WD inaposhindwa kupita inakua ni hizo 2 zenye zimeongezeka zinakua zinagoma kuzunguka au ni vip labda?

Au ni zote nne zinazunguka ila zinateleza tu hapo hapo bila Kwenda mbele?
....nadhani pia suala la teknolojia linahusika hapa....
Mfano mrahisi...Toyota Land cruiser huko porini unaweza kukuta imekaa kwenye tope, Land Rover defender ikapita kilaini sana...

Japo gari kukatiza kwenye tope kirahisi kuna mambo mengi yanahusika kama vile aina ya Tairi, Uzito wa gari, Nguvu ya engine, skills za dereva n.k
 
Back
Top Bottom