Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Kwenye orodha yako iweke na Nissan Xtrail ya kuanzia mwaka 2008 kwenda juu. Gari tamu sana hiyo sema watu hawajaijua tu na uoga wa Nissan
Asante mkuu...hadi nimeacha pombe ili kujazia jazia[emoji1787][emoji1787]
 
TAKO LA NYANI HESHIMA MKUU..
 
Usitake kulinganisha upumbavu na subaru XT mkuu. Harrier ni uchafu kwa subaru yani
 
Sijawahi moja kwa moja. Ila uwa naitumia kumwonyeshea jamaa yangu aliye huko ili alicheki gari husika.
Okay. Ningependa nipate feedback ya mtu anaetumia autotrader.
 
Niko kwenye utata kama wa mleta post, Subaru forester TX vs Harrier 240 g. Mi nachotamani ni matumizi madogo ya mafuta, uimara na service cost ziwe za kawaida (nimetumia Toyota sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…