Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Kwenye orodha yako iweke na Nissan Xtrail ya kuanzia mwaka 2008 kwenda juu. Gari tamu sana hiyo sema watu hawajaijua tu na uoga wa Nissan
Asante mkuu...hadi nimeacha pombe ili kujazia jazia[emoji1787][emoji1787]
 
nasikia ni bovu balaa
Mie nimenunua juzi tu niliuza Nissan Dualis, Extrail za kuanzia mwaka 2008 ni gari kali sana ni luxury ndani na pia ina muonekano nje
 

Attachments

  • 32.jpg
    32.jpg
    26.1 KB · Views: 81
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.

Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani

View attachment 1593241
Toyota Harrier Matako ya Nyani

View attachment 1593242
Subaru Forester TX



TAKO LA NYANI HESHIMA MKUU..
 
Usitake kulinganisha upumbavu na subaru XT mkuu. Harrier ni uchafu kwa subaru yani
 
Sijawahi moja kwa moja. Ila uwa naitumia kumwonyeshea jamaa yangu aliye huko ili alicheki gari husika.
Okay. Ningependa nipate feedback ya mtu anaetumia autotrader.
 
Niko kwenye utata kama wa mleta post, Subaru forester TX vs Harrier 240 g. Mi nachotamani ni matumizi madogo ya mafuta, uimara na service cost ziwe za kawaida (nimetumia Toyota sana)
 
Back
Top Bottom