funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Kwenye orodha yako iweke na Nissan Xtrail ya kuanzia mwaka 2008 kwenda juu. Gari tamu sana hiyo sema watu hawajaijua tu na uoga wa NissanSubaru forester,harrier tako la nyani,vanguard,kluger
Mmoja hapo naruka nae soon