Toyota hizi...!

OVERTAKING!
 
Mi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
 
Watu huwa wakiwa kwenye gari hawawez kuelewa nje spidi inavyochomoka, ndani wanaona wako stable smooth riding wakati nje iko spidi, wakija kushtuka wafanye decision dk 0 hapo ndo roho inachomokaga fasta
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Kazi IPO !!![emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Kila mtu atakufa kwa wakati wake na sababu ya kifo hicho amna anaejichagulia so ukifahamu hayo huna haja ya kuwa muoga
 
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
itapendeza ukijiandikia kabisa & uzi wako wa RIP mapema kurahisisha kazi...
 
Dawa ni kununua Toyota yenye stability ya treni na spidi ya ndege, namaanisha mnyama, sio hizo karatasi nyepesi
Crown iko balanced kuliko toyota nyingi za sedan. Naweza sema kuliko hata Mark X. Crown inafata tabia za Lexus kwa kiwango kikubwa tu. Kwahio stability sio shida ila jamaa inaonekana aliemgonga alivutia kwake. Tabia ya kishenzi ya watu ku overtake kwenye blindspot ama kukadiria gari linalokuja usoni ndio husababisha haya
 
hakika!
 
Ndio maana nikasema TOYOTA zisilaumiwe sana hatuna highways
Bongo tatizo ni highways, nilishaandikaga sana humu. Shida ni njia finyu na mkidhani kudhibiti speed ndio suluhisho ni kwamba amsuluhishi ila ni sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tu
 
Huwa nawaambia tabia zenu za kishenzi barabarani ndio maana malori yanawamaliza highway
Tabia ya madereva wa bongo nyingi zinafanana. Mambo ya kukadiria gari inayokuja usoni eti unataka uikate semi trailer kabla gari ya mbele haijakukuta. Matokeo ndio hayo, haraka inakuwaisha kaburini
 
πŸ€” πŸ€” hoja fikirishi hii
 
Tabia ya madereva wa bongo nyingi zinafanana. Mambo ya kukadiria gari inayokuja usoni eti unataka uikate semi trailer kabla gari ya mbele haijakukuta. Matokeo ndio hayo, haraka inakuwaisha kaburini
Huku mjini anaovateki bila kuangalia anakuwashia taa unampisha,tabia hujenga mazoea wakienda highway malori yanawanyoosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…