Toyota hizi...!

Toyota hizi...!

Aiseee nimekoma kuna siku niko na ipsum yangu natokea mtwara nipo 145+ speed kwa kweli nimejifunza sahv max speed ni 100
Ipsum ukifika hiyo speed unasikia kwa nyuma Gari kama inapeperushwa na unapoteza umakin na unaweza sababisha ajali ya kupoteza direction au kuingia porin kabisa
 
Wazoefu wanasema zina effect kadhaa

1. Pedals zinaweza kunasa katikati ya mguu na sandal yako inakuchanganya uka loose control
2. Imethibitishwa kwamba force unayoapply kwenye brake ukiwa na sandal ni ndogo kwahyo gari linaweza kuchelewa kupunguza mwendo
3. Maneuvering ya miguu yako between pedals inakuwa slower ukiwa na sandals
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji108]
 
Mi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
Hebu nioneshe gari ya mjerumani iliyopigwa ikagawanyika hivi...
PHOTO-2019-04-19-18-09-49.jpeg
 
Bongo tatizo ni highways, nilishaandikaga sana humu. Shida ni njia finyu na mkidhani kudhibiti speed ndio suluhisho ni kwamba amsuluhishi ila ni sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tu
sawa na kujaribu kuzuia harufu ya ushuzi kwa kukalia godoro. Baada ya mda harufu itatoka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa madogo wanakimbiza haya magari mpk unashangaa.... Siku nakatiza zangu na speed yangu ya kizee... nikashangaa kaPasso kananipita kama nimesimama. Nikashangaa na kujiuliza hawa madogo huwa wanawaza nini na haya mambio???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachojua ni kukanyaga tu hasa kama wamefunga mziki mnene halafu kidogo wametoa lock
 
tatizo vijana wakishamilikia haya magari wanakua jeuri wanataka waonekane machampioni wa speed 120 kwenye kona shaaaaaa,mwisho USO kwa USO na roli la mchanga

R.I.P kijana dreva wa crown athlete
Kuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .

Mmoja akageuka Sebastian vettel mweingie akawa lewisj Hamilton mbio za langa langa halafu barabara zenyewe za Tanzania .

Kilichokuja tokea mwenye x 3 akajikuta hospital fuvu limepasuka na mguu una fracture mwenye X 6 ikibadi alitoka salama ila ikabidi akaiokote vipande vyake akaviunganishe kwa fundi swalehe mikoroshini hahahahahah

Vijana wakisha hela mapema tabu tupu
 
Kuna yule jamaa wa Forex money industry alinunua X6 halafu na jamaa yake akanunua x3 sijui sasa kuna siku wanatoka iringa huko gari zikiwa mpya kabisa hata miezi sita hazijafikisha wako porini si wakafanya Formula 1 bwana .

Mmoja akageuka Sebastian vettel mweingie akawa lewisj Hamilton mbio za langa langa halafu barabara zenyewe za Tanzania .

Kilichokuja tokea mwenye x 3 akajikuta hospital fuvu limepasuka na mguu una fracture mwenye X 6 ikibadi alitoka salama ila ikabidi akaiokote vipande vyake akaviunganishe kwa fundi swalehe mikoroshini hahahahahah

Vijana wakisha hela mapema tabu tupu
Zingekuwa toyota hizo ingekuwa muda huu wanaimba mapambio mbinguni
 
Crown iko balanced kuliko toyota nyingi za sedan. Naweza sema kuliko hata Mark X. Crown inafata tabia za Lexus kwa kiwango kikubwa tu. Kwahio stability sio shida ila jamaa inaonekana aliemgonga alivutia kwake. Tabia ya kishenzi ya watu ku overtake kwenye blindspot ama kukadiria gari linalokuja usoni ndio husababisha haya
Dawa ni mnyama tu, hakuna namna
 
Kila mtu ana starehe yake mkuu, fikiria kuna wanao ona kuwa na mademu ni starehe zao, kuna wanywaji wa pombe ni starehe zao....

Kwangu mim starehe yangu ni kuvunja speed meter... Kifo tumeumbiwa binadamu, gari nimeanza kuendesha nikiwa na miaka 7, na miaka 19 naendesha gari... Enjoy
Nakushauri tafuta gari za ulaya
 
Back
Top Bottom