Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019]
View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976