Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Lakini ni body mbili tofauti kabisa... Gari za ulaya usalama umezingatiwa mno hasa kwenye bodyUendeshaji mbovu.
Hata ingekuwa benzi ingekula mzinga.
Kwasababu wao hawana visahani, wana masinia kabisa, unaweza ukajikuta unataka kumaliza na huwezi.