omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]tunakuombea ufike salamaAjali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Sana kaka bila familia sijui leo ningekuwa Position ipi..! Ila Mungu ni mwema sana.Familiar hutuvuta handbreak kwenye mengi
kuliko gx100?Dah ila chaser mayai na balloon ilivuma kuliko yote katika historia ya magari Tanzania Ukiondoa mitsubish intercooler 1993-1994 na vx 1995
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Dawa ni kununua Toyota yenye stability ya treni na spidi ya ndege, namaanisha mnyama, sio hizo karatasi nyepesi
Huyu kafatwa site take! Kuangusha au kuserereka hii gari ni ngumu kdg ina control kubwa sana hii gari! Data RIP dogo hujala maisha kbs!Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi kama Greece land. Zimepita model nyingi.
Tunamalizia enzi za Harrier TAKO LA NYANI zimechuja haraka baada ya nyingi kupiga chini.
TOYOTA crown bado iko juu lakini nayo inaendelea kuchinja watu. Simlaumu mjapani katengeneza kwa matumizi yake na taratibu zake. Huku hatuzingatii hili kabisa
Mwisho tunaishia kulaumu na kusema TOYOTA hizi lakini pamoja na kuwa na viwango vidogo vya usalama kulinganisha na gari za ulaya bado tatizo ni letu sisi wenyewe.
ELIMU JUU YA VYOMBO VYA MOTO hasa gari nyepesi za kijapani tumepoteza damu changa nyingine Kabuku. Damu ya Rchunga... Rip [emoji1019] View attachment 1105974View attachment 1105975View attachment 1105976
Mwenyewe unaona Sifaaa...kumbe ushamba wa Gari unakusumbua.Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
Kiburi si maungwana....fata sheria za barabarani....kuwa reasonable...najua sote tutakufa but angalia.....tutakunywa zako beer...Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki