Toyota hizi...!

Maswali fikirishi... Japo picha za ajali yeyote anaweza kupiga... Hiyo kabla ya ajali pengine ni ya nyuma ama ya kupiga kabla ya ajali
 
Uzoefu
Ubovu wa gari na miundo mbinu
Uchovu
Ugonjwa
Magari mengine
Kutozingatia sheria za barabarani
Kutotii alama za barabarani
Hizi ni sababu kuu za ajali
 
Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja aliniambia hii gari iko stable sana ikishapita speed 120 inakamata chini/inatitia,kuna siku alikuwa yuko kwenye 180 kph kufika kwenye kona hakupunguza,ilichomfanya hatakaa asahau,ile gari iliruka nzima nzima ikazunguka juu mara 3 kuja kutua miguu juu kichwa chini,guess what,Toyota Carina wakati huo ndio zilikuwa zinasumbua...
 
Ajali ni ajali tuu, huwez kuitegemea siku flani, msingi ni kuwa makini tu uwapo barabarani ila ajali ikitokea ndo ishafika siku yako, ila gari zmetengenezwa kwa kufuata cheap labor costs ili iuzwe kwa cheap prices ukitaka gari ngumu zaidi unaitune inakuwa km zile za mashindano unawekea vyuma vigumu hata ikipata ajali unatoka na majeraha kidogo but ajali ni ajali tu na gari hazijatengenezwa kumkinga mtu na ajali kubwa
 
German cars are usually more expensive and tend to be luxury or performance oriented (BMW, Mercedes, Audi, Porsche, etc.), while Japanese cars tend to be more budget friendly (Honda, Toyota, Mazda, Subaru, etc.) German cars are considerably more expensive than their Japanese counterparts. ... It all depends on your budget.
 
Gari yoyote 180kph ni dangerous speed labda uwe kwenye straight road,
 
Nowadays gari zinatengenezwa kwa fiber glass, carbon chassis, lightweight body, vyote hivi haviwez kukukinga na impact,
 
Sina uhakika na hizo gumboots ila unashauriwa kuvaa viatu vinavyokufit vizuri unapoendesha gari.
kama kweli unakua mwalimu si wanafunzi tutafeli sana? unapomuelewesha mtu au mkataza mtu kitu mwambie na sababu za kumwambia vile sio tu ACHA/USIFANYE/SIO VIZURI/HAISHAURIWI,NK tueleze WHY
 
Nowadays gari zinatengenezwa kwa fiber glass, carbon chassis, lightweight body, vyote hivi haviwez kukukinga na impact,
Hao ni wajep... Wazungu bado usalama wanaupa kipaumbele hasa kile kipande wanachokaa watu... Angalia picha za body frame nilizoweka... Angalia na ya Volvo aliyoweka RRONDO kamwe huwezi kufananisha na hii chassis body ya Mjep
 
Kwanini?

Mi navaaga sendoz tu

Wazoefu wanasema zina effect kadhaa

1. Pedals zinaweza kunasa katikati ya mguu na sandal yako inakuchanganya uka loose control
2. Imethibitishwa kwamba force unayoapply kwenye brake ukiwa na sandal ni ndogo kwahyo gari linaweza kuchelewa kupunguza mwendo
3. Maneuvering ya miguu yako between pedals inakuwa slower ukiwa na sandals
 
kama kweli unakua mwalimu si wanafunzi tutafeli sana? unapomuelewesha mtu au mkataza mtu kitu mwambie na sababu za kumwambia vile sio tu ACHA/USIFANYE/SIO VIZURI/HAISHAURIWI,NK tueleze WHY
Huwezi feli [emoji1427][emoji1427]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…