Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #161
Maswali fikirishi... Japo picha za ajali yeyote anaweza kupiga... Hiyo kabla ya ajali pengine ni ya nyuma ama ya kupiga kabla ya ajaliPicha inamuonyesha marehemu kabla ya ajali,na baada ya ajali...swali MPIGA picha kabla ya ajali nani? maana hii picha inaonyesha imepigiwa kati kati ya safari na marehemu hakuwa peke ake kuna mtu alikua nae na ndie alie mpiga picha,swali ni picha nani kazipiga Hasa hyo ya kwanza marehemu akiwa hai.