Toyota zinazotumika US siyo Raum, Spacio, IST ni Toyota kwelikweli mkuu.Wajerumani wameingia mwitu baada ya kuona bandiko hili πππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado wapo kama wawili sijawaona humu, [emoji23] unaweza kuta wametupia macho wakaona hawaenei[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shubaamiti kabisaKwenye hili hatuna pa kuficha uso mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na hapo bado mjapani mmoja kutoka huko fukushima hajafika wa kupuliza
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kafika mwngine, comment #41Kwenye hili hatuna pa kuficha uso mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na hapo bado mjapani mmoja kutoka huko fukushima hajafika wa kupuliza
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Toyota nigari zenye ustahimilivu mkubwa ukilinganisha nagari zaulaya hasa kwenye barabara mbovu.Hizi ndio Toyota wanazotumia US..
View attachment 2423553
Siyo Vitoyota vyenu hivi vya CC 1200π€£π€£
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo kazi mnayoSisi wa Landrover tutaongea yetu baadae[emoji38]
Sawasawa, na hapa kwetu ni za kuhesabu..It is true! Toyota Camry, Corolla, Tacoma, 4Runner, zinafanya vizuri sana kwenye soko la magari Marekani
Ni kama maji. Usipokunywa Basi utaogaSawasawa, na hapa kwetu ni za kuhesabu..
Lexus offers both luxury and reliabilityMkuu hapa hoja sio affordability, maana ukisema Toyota ni very affordable kuna Lexus hapo ni Toyota pia, iko at par na magari ya kizungu kwa bei. Lexus ni luxurious na very expensive car brand ya Toyota ila iko number 2 hapo.
Hapa Toyota walitulia kabisa. Mwonekano wa hii gari upo vizuri sana.Hapana mkuu! Hizo rav4 masawe mwisho wake huko kitunda nyantila [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapa zinazungumziwa aina hiiView attachment 2423492
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Tusiingie kwenye ligi ambazo hatuziweziAmerican consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi.
Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
View attachment 2422412View attachment 2423572
Duh, hii inaitwaje mkuu.Hizi ndio Toyota wanazotumia US..
View attachment 2423553
Siyo Vitoyota vyenu hivi vya CC 1200π€£π€£
Toyota tundra.. inaengine options unazopata kwenye landcruiser 200series (v8)Duh, hii inaitwaje mkuu.
Hiyo chombo mbona balaa.
Sidhani kama hii taarifa niya kweli mkuuToyota zinaaminika zaidi sababu wanunuzi wengi siku hizi ni kwa njia ya mkopo.. Kulipa deni la mkopo na kutunza gari at the same time hawawezi.. Lazima atafute gari ambayo ni matunzo less.. Toyota..!
Wamerekani wa siku hizi nao ni choka mbaya..!
Ukianza kununua gari bila mkopo sio rahisi kuwaza Toyota..!
Ford F150 na Tacoma sio gari za kulinganisha..Lete takwimu za mauzo kati ya ford f150 na tacoma kwa 2022
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app