Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

Kwenye hili hatuna pa kuficha uso mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na hapo bado mjapani mmoja kutoka huko fukushima hajafika wa kupuliza

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado wapo kama wawili sijawaona humu, [emoji23] unaweza kuta wametupia macho wakaona hawaenei[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shubaamiti kabisa
 
Hizi ndio Toyota wanazotumia US..
images.jpeg

Siyo Vitoyota vyenu hivi vya CC 1200🤣🤣
 
Mtoa uzi yuko sahihi kabisa, nilivyoenda Marekani 2020, nilikutana na toyota nyingi ikiwemo RAV 4, ila nilichogundua ni kuwa yanamuundo tofauti na mzuri zaidi kuliko haya yanayosambazwa Nchi kwetu.

Nilikutana na RAV4, yaani interior design yake tu ni hatari, ni tofauti kabisa na za TZ ( low prices).

IMG_9435.jpg

IMG_9436.jpg

IMG_9437.jpg
 
Toyota zinaaminika zaidi sababu wanunuzi wengi siku hizi ni kwa njia ya mkopo.. Kulipa deni la mkopo na kutunza gari at the same time hawawezi.. Lazima atafute gari ambayo ni matunzo less.. Toyota..!
Wamerekani wa siku hizi nao ni choka mbaya..!

Ukianza kununua gari bila mkopo sio rahisi kuwaza Toyota..!
 
Sidhani kama hii taarifa niya kweli mkuu
JamiiForums-375862122.jpg
 
Back
Top Bottom