Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

Ningemshauri achukue video tusikie huo mlio tungepata mwanga kidogo walau tujue pa kuanzia. Maana kama unasikia Knock huwezi kuwaza kubadili tairi, knock unaisikia kabisa inapotoka, ila mpaka kabadilisha matairi I assume kuna mlio unatoka sehemu izo. Afanye hizo simple diagnosis atajua tu
Knocks zitakuwa kwenye engine ila sasa je kwanini hazisikii gari ikiwa kwenye motion? Kwa sababu gari ikiwa kwenye RPM kubwa ndio inalia knocks kirahisi
 
Mkuu Dumbuya , Nami nina tatizo kama la mleta mada.

Kwenye silence/iddle, engine inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama mlio wa kugonga hodi. Asubuhi hapana, ila usiku napomaliza mizunguko.

Na pia saahivi gari imepungua power ya kukimbia kwenye mpando hasa nikiwa nimebeba watu.

Pia nimegundua nikifika speed 120, mlio/muungurumo unakuwa juu sana. Nafunga vioo full AC muda wote, lakini muungurumo nausikia. Nilidhania labda ni matairi kuisha ndiyo inasababisha huo muungurumo. Nimeweka tyre nne zote mpya, lakini bado muungurumo wa gari unakuwa upo juu kwenye high way speed.

Speed chini ya 120 ama juu ya 120, muungurumo unapungua kidogo.

Pia, kwa mara ya kwanza nimeona oil kupungua kiasi kidogo.

Odometer inasoma km 125,000 hadi sasa.

Mwaka jana niliondoa masega ya kwenye eksozi, baada ya gari kuwa inaishiwa nguvu mlimani. Na kweli tulipoondoa masega, gari ilirudi upyaaa kwenye power, na muungurumo wa eksozi ukabaki kawaida tu with very minor difference.

Service nazingatia sana. Natumia engine oil ya TOTAL 5W30 (quartz 9000) full synthetic.

Gearbox oil nishabadilisha mara 1, niliweka ATF type IV ya toyota as recommended kwenye dipstick.

Ni Toyota IST ncp61 (1490 CC).

CC: chilubi . , Kichuguu , Boeing 747 , LEGE , ProBook

Mkuu sijajua hicho kimlio kama ndio hiki ninachokifahamu. Engine za VVT huwa zina kimlioni fulani hivi kama oil haipandi vizuri.

Sasa sijui kitakuwa ndio hicho unachokutana nacho wewe au lah.
 
Mkuu Dumbuya , Nami nina tatizo kama la mleta mada.

Kwenye silence/iddle, engine inatoa mlio wa kugonga hivi, yaani kama mlio wa kugonga hodi. Asubuhi hapana, ila usiku napomaliza mizunguko.

Na pia saahivi gari imepungua power ya kukimbia kwenye mpando hasa nikiwa nimebeba watu.

Pia nimegundua nikifika speed 120, mlio/muungurumo unakuwa juu sana. Nafunga vioo full AC muda wote, lakini muungurumo nausikia. Nilidhania labda ni matairi kuisha ndiyo inasababisha huo muungurumo. Nimeweka tyre nne zote mpya, lakini bado muungurumo wa gari unakuwa upo juu kwenye high way speed.

Speed chini ya 120 ama juu ya 120, muungurumo unapungua kidogo.

Pia, kwa mara ya kwanza nimeona oil kupungua kiasi kidogo.

Odometer inasoma km 125,000 hadi sasa.

Mwaka jana niliondoa masega ya kwenye eksozi, baada ya gari kuwa inaishiwa nguvu mlimani. Na kweli tulipoondoa masega, gari ilirudi upyaaa kwenye power, na muungurumo wa eksozi ukabaki kawaida tu with very minor difference.

Service nazingatia sana. Natumia engine oil ya TOTAL 5W30 (quartz 9000) full synthetic.

Gearbox oil nishabadilisha mara 1, niliweka ATF type IV ya toyota as recommended kwenye dipstick.

Ni Toyota IST ncp61 (1490 CC).

CC: chilubi . , Kichuguu , Boeing 747 , LEGE , ProBook

Kwenye suala la muungurumo kuwa juu around 120 na ukienda juu au chini ya 120 unapungua it seems ni ishu with gearbox. Huenda ni delay ya kuingia gear ya mwisho.
 
Knocks zitakuwa kwenye engine ila sasa je kwanini hazisikii gari ikiwa kwenye motion? Kwa sababu gari ikiwa kwenye RPM kubwa ndio inalia knocks kirahisi
Hapo itabidi aende step by step kujua knock yake inasababishwa na nini; Mimi ningemshauri ivi;

  • Amwage mafuta yote yaliyomo kwenye tank na aweke mengine kwenye sheli nyengine ambayo yatakuwa na high octane (Kama sikosei ni PREMIUM inakuwa inaandikwa kwenye zile sheli za PETRO kama zipo apo dar.
  • atizame spark plug zote kama zipo sawa, kama hairidhishi aweke nyengine.
  • Atizame oil pump kama inafanya kazi (hii kawaida itawasha taa ya oil sasa hopefully ki bulb chake kiwe kinafanya kazi)
-Mwisho ndio afungue oil pan chini na kutizama kama kuna piston/mkono unacheza

Ila kuna vitu vya kuzingatia navyo, engine huwa ina knock sensor, ambapo ikiwa kuna knock (sio knock ya piston au mkono mbovu lakini) inapelekea taarifa kwa ECU na hio ECU inafanya adjustment na knock inaondoka.

Labda nimuulize, kwani hakuna check engine inayowaka?
 
Niliweka transmission fluid Type T-IV hii hapa
IMG_20210705_092027.jpg

Fluid hii now ishatembea 16,879 KM tangu iwekwe hadi sasa.

Transmission Fluid level: dipstick inasoma hivi:
IMG_20210705_194654.jpg

Asubuhi kabla ya kuwasha gari, level ni hapo kwenye njano.

Nikizima engine baada ya mizunguko, level inapanda hadi hapo kwenye blue... yaani hilo neno 'TYPE' linakuwa limefunikwa na oil.

Je, hiyo transmission oil level iko okay?

Pia hizo marking za 'COOL' na 'HOT' zinamaanisha nini?
 
Niliweka transmission fluid Type T-IV hii hapa

Fluid hii now ishatembea 16,879 KM tangu iwekwe hadi sasa.

Transmission Fluid level: dipstick inasoma hivi:
View attachment 1842584

Hayo maandishi ya HOT na COOL yanafunikwa na ATF?
 
Hapo itabidi aende step by step kujua knock yake inasababishwa na nini; Mimi ningemshauri ivi;

  • Amwage mafuta yote yaliyomo kwenye tank na aweke mengine kwenye sheli nyengine ambayo yatakuwa na high octane (Kama sikosei ni PREMIUM inakuwa inaandikwa kwenye zile sheli za PETRO kama zipo apo dar.
  • atizame spark plug zote kama zipo sawa, kama hairidhishi aweke nyengine.
  • Atizame oil pump kama inafanya kazi (hii kawaida itawasha taa ya oil sasa hopefully ki bulb chake kiwe kinafanya kazi)
-Mwisho ndio afungue oil pan chini na kutizama kama kuna piston/mkono unacheza

Ila kuna vitu vya kuzingatia navyo, engine huwa ina knock sensor, ambapo ikiwa kuna knock (sio knock ya piston au mkono mbovu lakini) inapelekea taarifa kwa ECU na hio ECU inafanya adjustment na knock inaondoka.

Labda nimuulize, kwani hakuna check engine inayowaka?

Hakuna check engine inayowaka mkuu.
 
Ni issue ya engine hiyo. Ni piston na connecting rods inatakiwa uzibadilishe. Ukiendelea kuendesha gari, unaweza kiua engine nzima kabisa na pistons zote. Paki gari, fanyia matengenezo, ndio uiendeshe. Partial repair is always cheaper than Full repair

mkuu DocJayGroup , unamaanisha kuwa 'PISTON' zina replacement (spea)?
 
Ndiyo. ATF inafunika COOL na HOT, hadi neno TYPE kule juu nalo linafunikwa.
Kuna kitu hakipo sawa.COOL maana yake ni kwamba ukipima ATF wakati engine ikiwa ya baridi basi ATF ifike kwenye eneo la COOL na ukipima ATF wakati engine ni ya moto basi ifike sehemu iliyoandikwa HOT.
 
Shukrani mkuu. ATF yangu inafunika neno 'HOT' lote na kuzidi. Hii ni asubuhi kabla sijawasha engene.

Engene ikiwa ya moto, ATF level inapanda juu zaidi hadi kufunika neno 'TYPE'... kama hiyo picha inavyoonesha.
 
Niliweka transmission fluid Type T-IV hii hapa
View attachment 1842594

Fluid hii now ishatembea 16,879 KM tangu iwekwe hadi sasa.

Transmission Fluid level: dipstick inasoma hivi:
View attachment 1842584

Asubuhi kabla ya kuwasha gari, level ni hapo kwenye njano.

Nikizima engine baada ya mizunguko, level inapanda hadi hapo kwenye blue... yaani hilo neno 'TYPE' linakuwa limefunikwa na oil.

Je, hiyo transmission oil level iko okay?

Pia hizo marking za 'COOL' na 'HOT' zinamaanisha nini?

Boss unapimaje level ya ATF ukiwa umezina gari?

Washa gari kaa dakika chache hata 3 pima ATF (usizime gari.)

Nenda kapige misele gari ipate moto. Park gari yako huku engine ikiwa ON bado halafu pima tena.
 
Mkuu nimefanya kama ulivyoelekeza. Nimerudia upya kucheki ATF level.

1. Asubuhi kabla sijawasha gari:
IMG_20210706_145523.jpg

2. Nikawasha gari, baada ya dakika 3, nikapima:
IMG_20210706_145141.jpg

3. Nikaendesha gari kwa umbali wa 38 KM, nikapark, nikapima (engene ikiwa On):
IMG_20210706_145302.jpg
 
Knocks zitakuwa kwenye engine ila sasa je kwanini hazisikii gari ikiwa kwenye motion? Kwa sababu gari ikiwa kwenye RPM kubwa ndio inalia knocks kirahisi
Hako kamlio sio ka Knock ila ni bearings za hapo mbele kwenye injini, kompresa au kitu kingine.
 
Back
Top Bottom