Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

Sawa mkuu. Kesho nafanya service.

Pia naomba kufahamu, engine oil nibadilishe kwa kilomita ngapi? Na ATF nibadili kwa kilomita ngapi?

Badili oil ikishabadilika rangi na kuwa brown na usibadilishe sababu ya kilometa ulizotembea.
 
IMG_20210712_210919.jpg


Mkuu concious mind , ulifanikiwa kutibu hilo tatizo la mlio wa kugonga hodi kwenye engine?
 
Wataalaamu wa magari,

Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine.

Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo.

Ni tatizo gani hilo?
Tatizo kwangu ni gari yangu aisee inakimbia sana! Yaani kutoka Mwanza to Dar to Mbeya ime'overtake' tu lakini haijapitwa au kuwa 'overtaken' na gari yoyote...😡! Hivi inatatizo gani wadau maana inafikia inasoma speed 203 lakini utafikiri upo 120 ya IST! Wadau nisaidieni kujua tatizo isee🙏!
 
Back
Top Bottom