Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

Sawa mkuu. Kesho nafanya service.

Pia naomba kufahamu, engine oil nibadilishe kwa kilomita ngapi? Na ATF nibadili kwa kilomita ngapi?

Badili oil ikishabadilika rangi na kuwa brown na usibadilishe sababu ya kilometa ulizotembea.
 
Tatizo kwangu ni gari yangu aisee inakimbia sana! Yaani kutoka Mwanza to Dar to Mbeya ime'overtake' tu lakini haijapitwa au kuwa 'overtaken' na gari yoyote...😡! Hivi inatatizo gani wadau maana inafikia inasoma speed 203 lakini utafikiri upo 120 ya IST! Wadau nisaidieni kujua tatizo isee🙏!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…