Toyota kawajibu akina Ferrari na Lamborghini yani ni hatari

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Toyota ni nouma yani sheeda hatari Aisee. Watu wanaidharau sana Toyota. Mjapan akaamua kuwanyamazisha watu. Katoa kitu kikali sana ambacho Kilianza kutumika July 2020 ni Lexus Lc 500 convirtable 'sexy car' yani ukiimiliki hii demu yeyote hachomoki.

Kina Ferrari, Porsche, Lamborghini yamebaki yakishangaa. Sipendi sports car Ila hii ya Aisee.

 
Waswahili tutaishia kuzitamani kwenye picha, hatuna barabara kwa ajili ya gari hizo. Halafu sijui ni unyakyusa/usukuma (ushamba) umenitawala! Napenda sana gari za juu
 
pesa ndio hizo hawa wajinga wa mitano tena wamezishikilia
 
Jina FERRARI linatisha, huwezi linganisha TECNO na IPHONE.

Tecno hata akitoa aina gani ya simu haiwezi kuikuta iphone 4
 
No matter what, bado itabaki kuwa Toyota tu!!! Ni kama Huawei tu... hata iuzwe kwa 10M, bado itabaki kuwa simu ya Kichina tu, period!!!
Toyota ni kampuni kubwa duniani kuanzia ulaya, America na Asia huko kote Toyota anauza Magari yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…