Toyota kawajibu akina Ferrari na Lamborghini yani ni hatari

Toyota kawajibu akina Ferrari na Lamborghini yani ni hatari

Hio ni Lexus wewe kifua V8 sprints 0-60 under 5 seconds
Unaikumbuka ile hotuba ya Mwalimu ambayo aliingiza maneno "...wewe ni Kaburu tu!"

Kama unaikumbuka hiyo hotuba, basi hapo kwenye neno Kaburu weka "Toyota"!!

Sema hapo Toyota nimewasifu sana!! Walipoona Lexus imekaa Kinyamwezi, wakaona badala ya kuiita Toyota basi waiite Lexus... brilliant!
 
Back
Top Bottom