Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Uko kama watoto wachanga. Walio wengi, watoto hawa huwa hawapendi kubebwa na mtoto mdogo (mfupi) aliyefikia rika la kubeba watoto, wakati kuna mtu mzima (mrefu kuliko watoto). Akibebwa na mtoto mwenzake analia, halafu mkubwa akimbeba ananyamaza. Issue hapa ni kwamba hapendi kubebwa halafu akawa anajiona yuko chini, anataka abebwe na mkubwa ili awe juuWaswahili tutaishia kuzitamani kwenye picha, hatuna barabara kwa ajili ya gari hizo. Halafu sijui ni unyakyusa/usukuma (ushamba) umenitawala! Napenda sana gari za juu