Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 5, 2020 #41 Ipo vizuri... Cc: mahondaw
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,495 Reaction score 29,872 Dec 5, 2020 #42 Extrovert said: Hio ni Lexus wewe kifua V8 sprints 0-60 under 5 seconds Click to expand... Unaikumbuka ile hotuba ya Mwalimu ambayo aliingiza maneno "...wewe ni Kaburu tu!" Kama unaikumbuka hiyo hotuba, basi hapo kwenye neno Kaburu weka "Toyota"!! Sema hapo Toyota nimewasifu sana!! Walipoona Lexus imekaa Kinyamwezi, wakaona badala ya kuiita Toyota basi waiite Lexus... brilliant!
Extrovert said: Hio ni Lexus wewe kifua V8 sprints 0-60 under 5 seconds Click to expand... Unaikumbuka ile hotuba ya Mwalimu ambayo aliingiza maneno "...wewe ni Kaburu tu!" Kama unaikumbuka hiyo hotuba, basi hapo kwenye neno Kaburu weka "Toyota"!! Sema hapo Toyota nimewasifu sana!! Walipoona Lexus imekaa Kinyamwezi, wakaona badala ya kuiita Toyota basi waiite Lexus... brilliant!
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Dec 5, 2020 #43 Kuhani Noah said: Extrovert Offshore Seamen View attachment 1641596 Click to expand... Ukiwa speed usifanye mchezo wa kukata Kona Kali kwenye Land Cruiser series 70,Land Rover Defender 110, Discovery 1,2 lazima ulambe ardhi. Michezo hiyo anaweza Nissan Patrol hapo ingelala upande na kurudi kama kawaida.
Kuhani Noah said: Extrovert Offshore Seamen View attachment 1641596 Click to expand... Ukiwa speed usifanye mchezo wa kukata Kona Kali kwenye Land Cruiser series 70,Land Rover Defender 110, Discovery 1,2 lazima ulambe ardhi. Michezo hiyo anaweza Nissan Patrol hapo ingelala upande na kurudi kama kawaida.
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Dec 5, 2020 #44 Sijawahi kuvutiwa na super car ya aina yoyote Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app