Kapicha plz....Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!
Wasifu wake:
Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!
Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!
Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!
Mr. Toyota habari bila picha ni sawa story za kijiweni.Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!
Wasifu wake:
Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!
Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!
Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!
HATA MIMI NIMEONAHapo mwenye design mzee tumepigwa...yani ni copy and paste ya nissan V8
hapo sibishi kabisaHapo mwenye design mzee tumepigwa...yani ni copy and paste ya nissan V8
Kwasasa Watameza Mate WalaleNasikitika tu polepole hataenjoi haya ma vieite mapya pindi yatakaponunuliwa huko serikalini.
Serikali Ni TajiriMmesusa kulinunua kwasababu ni copy ya Nisan V8 ?
Wanyonge zetu ni harrier tako la nyani,team tezza etcMmesusa kulinunua kwasababu ni copy ya Nisan V8 ?
Torque.. We sema tako, t..Hivi kwa nini watu wakiwa wanatoa sifa za gari huwa wanapenda kuzungumzia zaidi horsepower badala ya Torque?