Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Wanyonge zetu ni harrier tako la nyani,team tezza etc

Hayo Mavieite tutaishia tu kuangalia reviews zake huko youtube ila kuyaendesha/kuyamiliki ni nehiiiiii nehiiiiiiiiii.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Wazee wa mziki kwa Dicksound na rim kitu mtelezo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila harrier imekuwa nyingi kama changa la baharini! Huwezi kukatiza mtaa ukaumaliza bila kupishana nayo maeneo ya mjini
 
Serikali Ni Tajiri
Punde Utayaona Barabarani
HK Naye Pia Bashiru Watayaona Kwa Mbali
Msukuma Anangoja Lift Kwa Mawaziri Ndiyo Apande
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸΈ
Hahahaha uzuri serikali inaagizaga 0km kwahio soon tu utaanza kuona STL mtaani zikiwa ni LC300 dude tamu sana aisee! Kiboko zaidi ya 200 series kwa kweli! It seems to be a very appealing car in person. Wacha tuone zikifika hao jamaa wote watapewa lift tu maana washatoka mchezoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mr. Toyota habari bila picha ni sawa story za kijiweni.

D3216FFA-36B8-42C1-88A5-17838A8A586E.jpeg


FC570494-308A-4820-B9EE-795C5365CF99.jpeg
 
Toyota hasa LC series ina loyal fans na enthusiasts waliosambaa dunia nzima.

I think design wise, hilo gari bado kabisa. Hakuna zile "wow" features. Anavyoviweka vilikuwepo kwenye makampuni mengine.

Nadhani angetoa na 4.4l V8 twin turbo yenye over 550hp. Ingependeza zaidi.

Otherwise, gari ya kawaida sana.
Wow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!
 
Wazee wa mziki kwa Dicksound na rim kitu mtelezo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila harrier imekuwa nyingi kama changa la baharini! Huwezi kukatiza mtaa ukaumaliza bila kupishana nayo maeneo ya mjini
Kuna jamaa huko mtaani nilikua namuonaga mjanja sana ila nilivyomuona ana hio gari nilim downgrade kabisaa.
 
Back
Top Bottom