Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Horsepower ni Marketing term sawa sawa na ile 0-60 miles sprint!

Yani gari yenye horsepower kubwa inawahi zaidi ku peak 60 miles per hour! Kwahio wateja wengi wako obsessed na hio kitu sikuhizi! Gari ikiwa na less than 5 seconds its termed fast na hata horsepower zake zitakuwa juu! Ila ikiwa more than 5 seconds inaonekana slow sana!
Nimekuelewa mzee wa SAE40!
 
Kwenye magari madogo torque ni muhimu kuliko horsepower katika mazingira yetu na katika barabara zetu za Afrika kwa sababu barabara zetu nyingi zinahitaji gari zenye nguvu kubwa na ground clearance kubwa pia.

Kama gari inatembea sana porini…vinginevyo hata kwa Tanzania sasa hivi gari yenye torque ya kawaida itafaa tu. Barabara nyingi zinapitika siku hizi hata kwa SUV ndogo
 
Bora wewe, mimi hata ya mwaka 90 sijawahi kupanda hata kwa kupewa lifti...umasikini usikie tu☹️
Hujawahi kupanda land cruiser mzee baba?

Mie 70, 80,100 series nimezikwea ila 200 series bado nakula kwa macho! Naomba uzima japo niionje hio 300 series
 
Kama gari inatembea sana porini…vinginevyo hata kwa Tanzania sasa hivi gari yenye torque ya kawaida itafaa tu. Barabara nyingi zinapitika siku hizi hata kwa SUV ndogo
Vijijini barabara hazipitiki!
 
Hahahaha uzuri serikali inaagizaga 0km kwahio soon tu utaanza kuona STL mtaani zikiwa ni LC300 dude tamu sana aisee! Kiboko zaidi ya 200 series kwa kweli! It seems to be a very appealing car in person. Wacha tuone zikifika hao jamaa wote watapewa lift tu maana washatoka mchezoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi injini yake ni cc ngapi? Au ni ile ile 4500?

Kama ni ile ile kwenye kipengele cha wese ni balaa
 
Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!

Wasifu wake:

Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!

Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!

Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!

Some pictures

View attachment 1773697

View attachment 1773698
Nawaza nitafungia wapi ngao (bull bar) maana naona unaweza haribu show ya mbele
 
Back
Top Bottom