Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Ila ajabu ina hp kubwa kuliko V8
large natural Aspirated V8 v/s not soo small twin turbocharged V6

kwa miaka mingi sana kwenye forums za magari watu walikuwa wanahoji ni kwann toyota anang'ang'ana na natural Aspirated engines za V8 zenye displacement kubwa

wakati anaweza akapata power zaidi kwa kutumia engines ndogo ambazo ziko Boosted

naona kwa toleo hili amefanyia kazi maoni ya wadau
 
Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!

Wasifu wake:

Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!

Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!

Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!

Some pictures

View attachment 1773697

View attachment 1773698
sh.ngapi kuileta bongo?
 
Kale kadude kanawatingisha sana wajerumani inabidi warudi maabara kupika turbo zaidi! Imagine kangekuwa na piston ya 4 ingekuwaje!
Hahah Toyota inaionyesha dunia kwamba ikiamua kurudi kwny mambio hakuna wa kuizua.

Na amewaweza wajerumani kwa sana tu,ni mwendo wa kujaza ma turbo na sa hivi amekawekea kisahani cha 280km/h(ingawa kanaishia 240km/h) so kwa wale wenye kupenda kuangalia kisahani wakarushwe roho kama mjerumani anavyowarushaga.
 
Hahahaha uzuri serikali inaagizaga 0km kwahio soon tu utaanza kuona STL mtaani zikiwa ni LC300 dude tamu sana aisee! Kiboko zaidi ya 200 series kwa kweli! It seems to be a very appealing car in person. Wacha tuone zikifika hao jamaa wote watapewa lift tu maana washatoka mchezoni 😂😂😂
Tayari zimetua bongo hizi, sisi ni matajiri tutembee vifua mbele.
 
large natural Aspirated V8 v/s not soo small twin turbocharged V6

kwa miaka mingi sana kwenye forums za magari watu walikuwa wanahoji ni kwann toyota anang'ang'ana na natural Aspirated engines za V8 zenye displacement kubwa

wakati anaweza akapata power zaidi kwa kutumia engines ndogo ambazo ziko Boosted

naona kwa toleo hili amefanyia kazi maoni ya wadau
unaposema natural aspirated V8 za toyota unaongelea UZ series? , maana 1Vd ni turbocharged from day one.
 
Hiyo ni turbo tu mzee.

Sawa na germany cars.
kuna vitu kama vitatu vinavyofanya engine za siku hizi kufanya maajabu ya nguvu
1 variables geometry turbochargers
hizi ni turbo zenye uwezo wa kutoa boost hata kama engine rotation ni ndogo kwa maana hiyo hakuna turbo lag

2. Piezoelectric nozzle
hizi ni nozzle za umeme , zina uwezo wa kuspray fuel at high pressure and very good precision , up to five times in a miliseccond in a single stroke
3 Common rail
huu mfumo diesel fuel inabanwa katika rail ikiwa tayari katika ignition pressure ( up to 2000bars )

engine yoyote ikiwa na mifumo hiyo mitatu hata kama ikiwa na displacement ndogo lazima iwe na mbio za kutosha pamoja na nguvu za goliath
 
Si unaona sa hivi ka toyota GR yaris a.k.a Vitz kanavyowakimbiza wajerumani mbaya kabisa.,hakuna cha golf gti wala nini.
Keep lying to yourself. If a45 s was the same price as a gr yaris would you still buy gr yaris? No. Gr yaris is popular because of the price. But if the price was not an objective every one will get an a45 s. And no, the Germans dont lose sleep over toyota
 
Hahah Toyota inaionyesha dunia kwamba ikiamua kurudi kwny mambio hakuna wa kuizua.

Na amewaweza wajerumani kwa sana tu,ni mwendo wa kujaza ma turbo na sa hivi amekawekea kisahani cha 280km/h(ingawa kanaishia 240km/h) so kwa wale wenye kupenda kuangalia kisahani wakarushwe roho kama mjerumani anavyowarushaga.
Kanatoboa mzee baba usikachukulie simple!
 
Back
Top Bottom