Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Ndoto ya wengi. 2021 GXL Station Wagon [emoji95]
Screenshot_20210508-174236~2.jpg
 
Natumai una fahamu kuna mapigo manne ili kukamilisha engine cycle.
Your average traditional mechanical nozzle huwa inamwaga mafuta mara moja tu wakati piston ipo tdc kwa engine za diesel, piezzo nozzle ina uwezo wa kumwaga mafuta hadi mara tano kwenye pigo la combustion, hii ndio sababu engine za common rail huwa zina sound smooth kwa kuwa hazina ile diesel knock sound.
Hapo nimekupata sasa na zinafanya hivyo kwa kutumia pulse width?
 
Weka Pictures Twende Sawa Sawa
Kazi Yetu Kuona Tu Tunafarijika Maana Uwezo Hakuna Wa Kanunua Kula Kulala Tabu
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji2][emoji485][emoji483][emoji484]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Kazi iendelee!!
 
Toyota hasa LC series ina loyal fans na enthusiasts waliosambaa dunia nzima.

I think design wise, hilo gari bado kabisa. Hakuna zile "wow" features. Anavyoviweka vilikuwepo kwenye makampuni mengine.

Nadhani angetoa na 4.4l V8 twin turbo yenye over 550hp. Ingependeza zaidi.

Otherwise, gari ya kawaida sana.
Mzee wa Horse Power [emoji847][emoji847]
 
Back
Top Bottom