Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Wow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!
Kinachomfanya toyota awe reliable ni kwamba haweki tech & features kwenye gari zake mpaka ziwe tried & tested & refined & proven

Hizo wow features ndio zinakuja kuwa wow breakdowns & wow bills
 
Eeewaa wewe ndo umeongea uhalisia! Huwa anazipitisha kwenye test za muda mrefu kabla ya kuzi release sokoni! Ndio maana hutakaa usikie CVT ya toyota inasumbua
 
Hapo nimekupata sasa na zinafanya hivyo kwa kutumia pulse width?
Yap
Pulse width controlled by ecu, through camshaft and crankshaft sensors
Piston inapofata valve kwenye compression stroke, nozzle inatema kidogo hii inafanya ile compression kuwa na tabia kama za petrol mixture , ikifika juu pale kunakuwa na main injection, then piston inaporudi chini power stroke kunakuwa na injection nyingine.
Kutegemeana na aina ya software iliyiandikwa nozzle hizi zina uwezo wa kutoa pressure hadi mara 5, kwa pigo moja.
 
Hapo nimekupata kwa ufasaha kabisa lakini pia wakati piston inapokuwa inashuka wakati wa power stroke kurudi BDC kwanini tena wamefanya ku inject some fuel? Hii haifanyi kuwa high consumption of fuel? Au ndo kama mambo ya avation kutumia afterburner?
 
Sio muda wote linafanyika hili. ,inategemeana na working conditions za engine, kukiwa na mzigo mkubwa mathalan unapopanda milima , huwa kuna partial combustion ,ndo ule moshi mweusi unaoonekana engine ikiwa na load ya kutosha, hii ni kwa sababu movements za piston zinakuwa limited na mzigo uliobebwa na shaft . sasa ecu inaposense ule moshi kupitia exhaust sensor , ndo ina command that spray.
Ni baada ya kupunguza main injection ambayo kwa wakati huo inakuwa inazalisha moshi
 
Sawa mkuu kwa haraka haraka nafikiri pia nje na mambo ya efficiency wamezingatia swala la emmision siyo?
 
Yah
Emmisison ndo imetupeleka huku, lakini pia imetokana na jitihada za watu wa diesel kutaka kuboresha engine hizo ambazo kidesturi zilikuwa very slow.
 
Hiyo barabara nzuri kabisa.. 😂😂
mimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turn
kuna member kasema Subaru AWD inapandisha hapo kwenye mfinyanzi
L/C hata kichanga haiwezi sembuse mfinyanzi
wapo wababe wanapanda na kuzima moto
 
View attachment 1779116
Kesho naifanyia majaribio Subaru, ila LC moto wake usipime. By uzoefu.. kuna mahala nilibaki nimeduwaa acha kabisa
 
Back
Top Bottom