Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Ingekuwa balaa mtaani, naamini hata polepole angepaza sauti kuuWabongo koromeo zingechomoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa balaa mtaani, naamini hata polepole angepaza sauti kuuWabongo koromeo zingechomoka
Tairi kipara zimemgharimu hapoView attachment 1778624
hapo ni L/C mkonga au Dereva mwenyewe anakose?
ngoja ashuke uone ninavyopanda na kukata huo Mlima
Kinachomfanya toyota awe reliable ni kwamba haweki tech & features kwenye gari zake mpaka ziwe tried & tested & refined & provenWow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!
Eeewaa wewe ndo umeongea uhalisia! Huwa anazipitisha kwenye test za muda mrefu kabla ya kuzi release sokoni! Ndio maana hutakaa usikie CVT ya toyota inasumbuaKinachomfanya toyota awe reliable ni kwamba haweki tech & features kwenye gari zake mpaka ziwe tried & tested & refined & proven
Hizo wow features ndio zinakuja kuwa wow breakdowns & wow bills
Tembea uone.Spidi kwa hapa bongo kwa ajili ya kukimbilia kwenye barabara zipi?
Nissan akiamua kukupigia interior ananyoosha mno...When it comes to interior and body design Nissan wako vizuri sana, nadhani wanaongoza sijajua kwenye performance.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Symmetrical AWD ya subaru plus right tyres unapanda fresh...Tairi kipara zimemgharimu hapo
YapHapo nimekupata sasa na zinafanya hivyo kwa kutumia pulse width?
Hapo nimekupata kwa ufasaha kabisa lakini pia wakati piston inapokuwa inashuka wakati wa power stroke kurudi BDC kwanini tena wamefanya ku inject some fuel? Hii haifanyi kuwa high consumption of fuel? Au ndo kama mambo ya avation kutumia afterburner?Yap
Pulse width controlled by ecu, through camshaft and crankshaft sensors
Piston inapofata valve kwenye compression stroke, nozzle inatema kidogo hii inafanya ile compression kuwa na tabia kama za petrol mixture , ikifika juu pale kunakuwa na main injection, then piston inaporudi chini power stroke kunakuwa na injection nyingine.
Kutegemeana na aina ya software iliyiandikwa nozzle hizi zina uwezo wa kutoa pressure hadi mara 5, kwa pigo moja.
Ngoja tumuulize Torque vs HP ivi ni kwanini?Hivi kwa nini watu wakiwa wanatoa sifa za gari huwa wanapenda kuzungumzia zaidi horsepower badala ya Torque?
Sio muda wote linafanyika hili. ,inategemeana na working conditions za engine, kukiwa na mzigo mkubwa mathalan unapopanda milima , huwa kuna partial combustion ,ndo ule moshi mweusi unaoonekana engine ikiwa na load ya kutosha, hii ni kwa sababu movements za piston zinakuwa limited na mzigo uliobebwa na shaft . sasa ecu inaposense ule moshi kupitia exhaust sensor , ndo ina command that spray.Hapo nimekupata kwa ufasaha kabisa lakini pia wakati piston inapokuwa inashuka wakati wa power stroke kurudi BDC kwanini tena wamefanya ku inject some fuel? Hii haifanyi kuwa high consumption of fuel? Au ndo kama mambo ya avation kutumia afterburner?
Sawa mkuu kwa haraka haraka nafikiri pia nje na mambo ya efficiency wamezingatia swala la emmision siyo?Sio muda wote linafanyika hili. ,inategemeana na working conditions za engine, kukiwa na mzigo mkubwa mathalan unapopanda milima , huwa kuna partial combustion ,ndo ule moshi mweusi unaoonekana engine ikiwa na load ya kutosha, hii ni kwa sababu movements za piston zinakuwa limited na mzigo uliobebwa na shaft . sasa ecu inaposense ule moshi kupitia exhaust sensor , ndo ina command that spray.
Ni baada ya kupunguza main injection ambayo kwa wakati huo inakuwa inazalisha moshi
Okay, ili kuongeza mzunguko wa injini kwa dakika siyo?Yah
Emmisison ndo imetupeleka huku, lakini pia imetokana na jitihada za watu wa diesel kutaka kuboresha engine hizo ambazo kidesturi zilikuwa very slow.
Sidhani kama wameongeza rpm, ila kwa sasa engine za diesel zina quick throttle response kuliko zile za miaka ya nyuma.Okay, ili kuongeza mzunguko wa injini kwa dakika siyo?
Hiyo barabara nzuri kabisa.. 😂😂Tairi kipara zimemgharimu hapo
Kuna vigari vidogo tu kama Nissan fuga na Teana ambavyo ukicheck interior na body design yake utaelewa hawa jamaa wako serious kwenye kazi zao kama iyo Teana ukicheki new model ndio utaelewa nachomaanisha.Nissan akiamua kukupigia interior ananyoosha mno...
mimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turnHiyo barabara nzuri kabisa.. 😂😂
Kesho naifanyia majaribio Subaru, ila LC moto wake usipime. By uzoefu.. kuna mahala nilibaki nimeduwaa acha kabisamimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turn
kuna member kasema Subaru AWD inapandisha hapo kwenye mfinyanzi
L/C hata kichanga haiwezi sembuse mfinyanzi
wapo wababe wanapanda na kuzima moto
View attachment 1779116
kuna hii mpya nissai ariya wanaipromote iko bomba sanaKuna vigari vidogo tu kama Nissan fuga na Teana ambavyo ukicheck interior na body design yake utaelewa hawa jamaa wako serious kwenye kazi zao kama iyo Teana ukicheki new model ndio utaelewa nachomaanisha.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app