Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu, kuna mwaka flani ulituma picha ya Nissan Patrol ikiwa imenasa kwenye tope hadi matairi yakachomoka. Ulikuwa nayo wewe mwenyewe siku ile!?.Nismo ya moto sana.
Hapa umejumuisha na Kodi ama ni bei ya kununua tu??Mkuu andaa 250M +
Spidi kwa hapa bongo kwa ajili ya kukimbilia kwenye barabara zipi?ma spidi kaka... wengi wanapenda ma spidi na sio uwezo wa engine kusukuma/kuvuta mzigo
Watoto wa mama watakuja hapa kukwambia ooooh hii ina muundo wa zamani,ina umbo la box sijui haina air suspension na blah blah kibao.Ndoto ya wengi. 2021 GXL Station Wagon [emoji95]View attachment 1777877
When it comes to interior and body design Nissan wako vizuri sana, nadhani wanaongoza sijajua kwenye performance.Maskini LC300 anakuja kukalishwa na huyu kiumbeView attachment 1777609View attachment 1777611View attachment 1777614
Upo sahihi, mziki wa hizi gari, watu wa off road ndio tuna uelewa.... unaenda mahala ambapo wengine hawaendi na una uhakika wa kurudi 😄😄Watoto wa mama watakuja hapa kukwambia ooooh hii ina muundo wa zamani,ina umbo la box sijui haina air suspension na blah blah kibao.
Hawajui hata wanachokiongelea.
Lexus unazijua mkuu 😎😎When it comes to interior and body design Nissan wako vizuri sana, nadhani wanaongoza sijajua kwenye performance.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hapo nimekupata sasa na zinafanya hivyo kwa kutumia pulse width?Natumai una fahamu kuna mapigo manne ili kukamilisha engine cycle.
Your average traditional mechanical nozzle huwa inamwaga mafuta mara moja tu wakati piston ipo tdc kwa engine za diesel, piezzo nozzle ina uwezo wa kumwaga mafuta hadi mara tano kwenye pigo la combustion, hii ndio sababu engine za common rail huwa zina sound smooth kwa kuwa hazina ile diesel knock sound.
Kazi iendelee!!Weka Pictures Twende Sawa Sawa
Kazi Yetu Kuona Tu Tunafarijika Maana Uwezo Hakuna Wa Kanunua Kula Kulala Tabu
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji2][emoji485][emoji483][emoji484]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Ndoto ya wengi. 2021 GXL Station Wagon [emoji95]View attachment 1777877
Sijawahi miliki Nissan Patrol.Hivi mkuu, kuna mwaka flani ulituma picha ya Nissan Patrol ikiwa imenasa kwenye tope hadi matairi yakachomoka. Ulikuwa nayo wewe mwenyewe siku ile!?.
Interior design Nissan anaongoza? Anaongoza kwa lipi labda?When it comes to interior and body design Nissan wako vizuri sana, nadhani wanaongoza sijajua kwenye performance.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Labda nikuulize Nissan ngapi unazijua na kuziona physical? Nimesema kwa mtazamo wangu lakini..Interior design Nissan anaongoza? Anaongoza kwa lipi labda?
Hata kuitaja unaitaja kwa adabu5.7L ya kiume sana.
Mzee wa Horse Power [emoji847][emoji847]Toyota hasa LC series ina loyal fans na enthusiasts waliosambaa dunia nzima.
I think design wise, hilo gari bado kabisa. Hakuna zile "wow" features. Anavyoviweka vilikuwepo kwenye makampuni mengine.
Nadhani angetoa na 4.4l V8 twin turbo yenye over 550hp. Ingependeza zaidi.
Otherwise, gari ya kawaida sana.
Na vanguardWazee wa mziki kwa Dicksound na rim kitu mtelezo tu 😂😂😂 ila harrier imekuwa nyingi kama changa la baharini! Huwezi kukatiza mtaa ukaumaliza bila kupishana nayo maeneo ya mjini