Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Hujawahi kupanda land cruiser mzee baba?

Mie 70, 80,100 series nimezikwea ila 200 series bado nakula kwa macho! Naomba uzima japo niionje hio 300 series
Land Cruiser napishana nazo tu barabarani mzee au nikiziona parking kwenye ma-shopping mall huwa nachungulia kwa mbali nijiridhishe kama kile nachokiona YouTube na Google kipo sawa
 
Wow feautures za nini wakati gari inatakiwa ikakate maji kama Mamba! Its an offroader! The real ass offroder i hope wameweka symmetrical all-wheel drive ya subaru!

Exactly. Ina acceptable level ya comfortability na bado inaweza kufanya kazi chafu. Again kama ilivyo Toyota nyingi, sifa yake siyo kuwa na magari yenye ‘bells and whistles’ ila reliability ndo kikubwa kwao. Hii pia ni sababu kubwa ya gari zao hasa LC kuuzwa bei ghali ukilinganisha na extra features au design ambazo magari kama Landrover yanakuwa nazo. Nitasubiri kusikia gari ambazo ni reliable kama LC katika segment yake.
 
Hapo atakayejitahidi kumfuata LC kwa reliability labda ni Nissan Patrol ila hizo takataka nyingine kama Range rover na nyinginezo hakuna kitu hapo.
 
Horsepower ni Marketing term sawa sawa na ile 0-60 miles sprint!

Yani gari yenye horsepower kubwa inawahi zaidi ku peak 60 miles per hour! Kwahio wateja wengi wako obsessed na hio kitu sikuhizi! Gari ikiwa na less than 5 seconds its termed fast na hata horsepower zake zitakuwa juu! Ila ikiwa more than 5 seconds inaonekana slow sana!
they say Horse power sells you a car while torque wins you a race
 
Back
Top Bottom