Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Hii ni trip 1 field trip inayofuata ni garage.

Hii Sio serious off-roader,ni kwa ajili ya mastaa na matajiri kui-display kwny garage zao,wanamuziki ku-shoot video za nyimbo zao na kwenda nazo kwny red carpet.
Hapana hii gari ni ngumu na ina nguvu sana tu. Labda kama hauifahamu vema baba..... Kumbuka kampuni ni benz babu...
 
Torque ni muhimu kwa wachukuzi , kwenye magari madogo kwa ajili ya speed , horsepower ni muhimu
Kwenye magari madogo torque ni muhimu kuliko horsepower katika mazingira yetu na katika barabara zetu za Afrika kwa sababu barabara zetu nyingi zinahitaji gari zenye nguvu kubwa na ground clearance kubwa pia.
 
Tena kwenye barabara zetu hizi za Afrika pamoja na mazingira yetu haya torque ni muhimu kuliko horsepower.
Horsepower ni Marketing term sawa sawa na ile 0-60 miles sprint!

Yani gari yenye horsepower kubwa inawahi zaidi ku peak 60 miles per hour! Kwahio wateja wengi wako obsessed na hio kitu sikuhizi! Gari ikiwa na less than 5 seconds its termed fast na hata horsepower zake zitakuwa juu! Ila ikiwa more than 5 seconds inaonekana slow sana!
 
Kali sana, sioni shida kwenye design. In real inaweza kupendeza zaidi
Yeah mwanzo guess work zilikuwa nyingi ila sasa final prototype ndio hio imefanyiwa reality! Iko freshi sana tofaut na zile picha nilizoona awali nikajua wameharibu maana nyuma ilikuwa inonekana kama Nissan Mpya ile
 
Back
Top Bottom