Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hii kitu unaenda na kurudi bila wasi wasi.. ππ TO 360 na HP 230...0mimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turn
kuna member kasema Subaru AWD inapandisha hapo kwenye mfinyanzi
L/C hata kichanga haiwezi sembuse mfinyanzi
wapo wababe wanapanda na kuzima moto
View attachment 1779116
Naelewa firsthand mkuu ndio maana nikasema hivyo.Kuna vigari vidogo tu kama Nissan fuga na Teana ambavyo ukicheck interior na body design yake utaelewa hawa jamaa wako serious kwenye kazi zao kama iyo Teana ukicheki new model ndio utaelewa nachomaanisha.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mwamba aliyezima moto ana akili nyingi sanamimi naona ni dereva kakanyaga mafuta mengi , bora hata angeegemea ngema asingepigwa U turn
kuna member kasema Subaru AWD inapandisha hapo kwenye mfinyanzi
L/C hata kichanga haiwezi sembuse mfinyanzi
wapo wababe wanapanda na kuzima moto
View attachment 1779116
Anashindwa kuelewa offroad haihitaji maumeme mengi wala ma gizmo ya ajabu ajabu. Lc ni offroader gari ya mtu anayezamia msitumi miaka na miaka durable and practicle.What special do you expect from a practical vehicle...Wings?
Nismo ni kama racing tuner official wa nissanMaskini LC300 anakuja kukalishwa na huyu kiumbeView attachment 1777609View attachment 1777611View attachment 1777614
Kuliwahi kuwa na mjadala wakati fulani , kwamba kwa nini maharamia , waasi na makundi mengi yanayofanya akward mission walikua wanatumia Toyota brands .Anashindwa kuelewa offroad haihitaji maumeme mengi wala ma gizmo ya ajabu ajabu
Lc ni offroader gari ya mtu anayezamia msitumi miaka na miaka durable and practicle...
Ukishangumzia lexus, kwa upande wa Nissan zungumzia Infinity..[emoji119][emoji119]Lexus unazijua mkuu [emoji41][emoji41]
Je hiyo 3.3 L V6(diesel)ikiwekwa kwenye coaster inaweza kuwa na power kuliko coaster ya 4.2L with turbo au rosa 4m yenye displacement ya 4.9L au body lina-matter?kuna vitu kama vitatu vinavyofanya engine za siku hizi kufanya maajabu ya nguvu
1 variables geometry turbochargers...
Nissan wame-score kwenye GTR ila kwenye model nyingine iwe,mini bus,suv.. toyota still is the ongoing winner.Maskini LC300 anakuja kukalishwa na huyu kiumbeView attachment 1777609View attachment 1777611View attachment 1777614
Hizi hizi mwenye nguvu anapishwa!Spidi kwa hapa bongo kwa ajili ya kukimbilia kwenye barabara zipi?
Rosa 4m series ziko mara mbiliJe hiyo 3.3 L V6(diesel)ikiwekwa kwenye coaster inaweza kuwa na power kuliko coaster ya 4.2L with turbo au rosa 4m yenye displacement ya 4.9L au body lina-matter?
Inabidi mpambane angalau mpumzike hapa kwanza kabla ya hilo jini jipya [emoji23][emoji23]afu wengine ata ist vitz hatuna [emoji23] [emoji23]
apo pia ni namba C afu unaweza kuta ina madeni tra mpka keroInabidi mpambane angalau mpumzike hapa kwanza kabla ya hilo jini jipya [emoji23][emoji23]View attachment 1781105View attachment 1781106
Uko vizuri mkuu ila suala la nani mbabe kati ya coaster 1hd...na rosa 4m..naona liko kikinzani sana kila upande ukidai uko juu ya mwingine japo mimi huwa naona hd kama ziko vizuri zaidi.Rosa 4m series ziko mara mbili
4m 50 hii ni turbocharged na ni cc4900
4m51 , hii ni natural aspirated na mi cc 5200, hizi nazo zimekuja mara mbili , kuna ya 140hp na 155hp ,
The 4.2 Ihd bado ina outsmart 4m series zote , kwa experience yangu ila nahisi 3.3 v6 itakuwa juu ya zote hizo, mind you inakuja na twin turbo zote vgt
Bado sijaona power torque graph figures ila im sure ni za juu
Mbona nilishalijibu hili , 1Hd kwenye coaster ipo vizuri kuliko Rosa 4mUko vizuri mkuu ila suala la nani mbabe kati ya coaster 1hd...na rosa 4m..naona liko kikinzani sana kila upande ukidai uko juu ya mwingine japo mimi huwa naona hd kama ziko vizuri zaidi.
Sahizi wana GR line! Nahisi itakuwa tuned na TRDNismo ni kama racing tuner official wa nissan
Kama ilivyo amg kwa mercedes
Sasa huoni hio nismo ukiifananisha na regular 300 series unaionea?...labda ingekuepo trd 300 series ndo ingekua sawia
... na sidhani kama litakuepo
Huyu ndie Real King wa Offroad! Anakalisha mapimbi woteNdoto ya wengi. 2021 GXL Station Wagon [emoji95]View attachment 1777877
Jamaa analeta 300 GR yenye 800HP show itakuwa kaliAlafu kuna Nissan Nismo 2021 inakuja..ndio killer ya hiyo 300 series....View attachment 1777260View attachment 1777262
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Wajapan hakuna kitu-alisikika mlevi mmoja aliyekunywa viroba vya diamond huku akichanja Gomba.
Mbona imekaa kama probox [emoji3]