Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Kama unaongelea kimo ..kama ipo chini sana ni kwasababu ya hp 800.Mbona imekaa kama probox [emoji3]
Dah sema 800HP hizo zitakua fujo sasa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hahahah ndio usubirie mziki wake utakavyokuwa mnene hapo road!π π π utaelewa kama ni pro box au mnyamakaziMbona imekaa kama probox [emoji3]
Dah sema 800HP hizo zitakua fujo sasa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Waache waponde tu, jamaa ameamua kurudisha heshima yake ambayo watu walimpora na kujitapa kuwa gari zake ni za wastaafu!Wajapan hakuna kitu-alisikika mlevi mmoja aliyekunywa viroba vya diamond huku akichanja Gomba.
Mamamae ππππ,chuma hicho.
Hata mimi imenichukua muda kidogo kuielewa...nikafikiri na Hardtop iliyoonhezwa manjonjo..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mbona imekaa kama probox [emoji3]
Dah sema 800HP hizo zitakua fujo sasa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Tutaishia kunawaHatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series...
ukiwa nayo ntakunya kuanzia hapa mpk huko wanapotengeneza..unitaarifu tuπlazima niwe nayo hii gari.
Mbona zinanunuliwa na watu mkuuukiwa nayo ntakunya kuanzia hapa mpk huko wanapotengeneza..unitaarifu tuπ
anza kunya mapema kwasababu kwa msaada wa MUNGU wa Ibrahim Isaka na Yakobo, ndani ya miaka hii miwili nitakalia hiyo gari. amini usiamini.ukiwa nayo ntakunya kuanzia hapa mpk huko wanapotengeneza..unitaarifu tuπ
ZX ni petrol engine ni 1UR-FE HP-318 ila pamoja na horse power hiyo bado dashboard inasoma 180kph!Lakini mkuu hebu tufungueni macho maana wangine sie tunayapanda sana ila tunaendeshwa tu hatujui lolote kuhusu hizi gari.
Hizi V8 series 200 mnazozijadili hapa maana Kuna zx, vx,vxr,gxr hapa unakuta Kuna zingine mfano zx hizi nyingi 180kph na Vxr 260kph je ! Hapo ipi ni Bora na ipi yenye nguvu zaidi na vipi kwa upande wa luxury na uvumilivu hasa road korofi??
ZX ni petrol engine ni 1UR-FE HP-318 ila pamoja na horse power hiyo bado dashboard inasoma 180kph!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile apph
Ahsante kwa ufafanuzi wako mkuuZX ni petrol engine ni 1UR-FE HP-318 ila pamoja na horse power hiyo bado dashboard inasoma 180kph!
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Yaan vieteee hata ipite miaka 10 nitakuja nilinunue tu maana loohSasa sijui hili dude likija tutalipa also known as gani?! Maana 200 series ilibamba kama "kilimo kwanza" tukamalizia na "Vieiti". Hii Visiksi" haitonoga kabisa.
Sasa si uende hosp? πView attachment 1813949View attachment 1813950View attachment 1813951
Mie hadi huwa naumwa nikiliwazia hili dude
Looh mkuu naumia yaani πππSasa si uende hosp? π