Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Mbona imekaa kama probox [emoji3]

Dah sema 800HP hizo zitakua fujo sasa

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kama unaongelea kimo ..kama ipo chini sana ni kwasababu ya hp 800.

Gari kama hili lenye 800 hp automatically watu wanlitakia speed so linabidi lishushwe ili liwe stable zaidi.

Ila 800hp dah

Kama nyingi hv kwa suv
 
Wajapan hakuna kitu-alisikika mlevi mmoja aliyekunywa viroba vya diamond huku akichanja Gomba.

Mamamae 😂😂😂😂,chuma hicho.
Waache waponde tu, jamaa ameamua kurudisha heshima yake ambayo watu walimpora na kujitapa kuwa gari zake ni za wastaafu!
 
Mlio wa kibabe wa 4.5l twin turbo diesel ndio unaenda kupotea hivyo
 
ukiwa nayo ntakunya kuanzia hapa mpk huko wanapotengeneza..unitaarifu tu😀
anza kunya mapema kwasababu kwa msaada wa MUNGU wa Ibrahim Isaka na Yakobo, ndani ya miaka hii miwili nitakalia hiyo gari. amini usiamini.
 
Lakini mkuu hebu tufungueni macho maana wangine sie tunayapanda sana ila tunaendeshwa tu hatujui lolote kuhusu hizi gari.

Hizi V8 series 200 mnazozijadili hapa maana Kuna zx, vx,vxr,gxr hapa unakuta Kuna zingine mfano zx hizi nyingi 180kph na Vxr 260kph je ! Hapo ipi ni Bora na ipi yenye nguvu zaidi na vipi kwa upande wa luxury na uvumilivu hasa road korofi??
ZX ni petrol engine ni 1UR-FE HP-318 ila pamoja na horse power hiyo bado dashboard inasoma 180kph!

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa sijui hili dude likija tutalipa also known as gani?! Maana 200 series ilibamba kama "kilimo kwanza" tukamalizia na "Vieiti". Hii Visiksi" haitonoga kabisa.
 
IMG_20210610_104535.jpg
IMG_20210610_104609.jpg
IMG_20210610_104644.jpg

Mie hadi huwa naumwa nikiliwazia hili dude
 
Back
Top Bottom