Car4Sale Toyota Land Cruiser Hardtop 160,000,000/= (With full registration)

14km/L imekuwa IST?
Punguza Ubishi na Ujuaji mkuu, ni kweli alichosema mdau, mfano hiyo Kruza inakupa Km 10 kwa lita 1 ya Diesel vzuri kabisaaaa kama unazingatia service. Hizi gari tusiziogope mkuu, huo ndio ukweli.
 
Yes naona bei ipo sawa kabisa

ila hiyo sio Toyota land cruiser hardtop hiyo ni Land cruiser LX

Hardtop ni ile ya milango Mi3 iyo ya milango 5 ni LX
 
TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP

Model: 2022
Stock No: 0083
Engine Capacity: 4164CC
Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE)

PRICE: 160,000,000/= (With full registration)

View attachment 2377822View attachment 2377823View attachment 2377824View attachment 2377825View attachment 2377826
Call/WhatsApp 0747744895

Welcome
Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE)? Gari lilifikaje hapo lilipo? Au hapo lilipo ni kiwandani? Gari ni nzuri ila mtoa mada afute kauli ya Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE) tafadhali.
Mwisho kabisa hiyo sio Toyota land cruiser hardtop hiyo ni Land cruiser LX.
 
Msibishe vitu ambavyo hamvijui, kuuza magari nayo ni taaluma.

kwa hiyo unataka useme lina 14km so ni used??

hata ikiwa na 50 KM hiyo ni 0 Km. Hiyo gari haijawahi tumika wala milikiwa KM za kutoa bandarini kwenda yard za nn sasa

hata ikiwa na na 99km Bado ni 0 KM zaidi ya hapo ndo mambo mengine.
 
Je kama imebebwa mpaka hapo?
 
Msibiahe vitu ambavyo hamvijui, kuuza magari nayo ni taaluma.

kwa hiyo unataka useme lina 14km so ni used??

hata ikiwa na 50 KM hiyo ni 0 Km. Hiyo gari haikawahi tumika wala milikiwa KM za kutoa bandarini kwenda yard za nn sasa

hata ikiwa na na 99km Bado ni 0 KM zaidi ya hapo ndo mambo mengine.
Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE) ni gari ambalo halijagusa aridh maana yake liko kiwandani na haliruhusiwi kukanyaga chini. Linabebwa hadi show room.
Muuzaji wa Toyota Mileage: 0KM(ZERO KILOMETRE) ni TOYOTA TANZANIA na sio madalali.
Hiyo ni used car hata kama imetembea Km 1.
 
Msibishe vitu ambavyo hamvijui, kuuza magari nayo ni taaluma.

kwa hiyo unataka useme lina 14km so ni used??

hata ikiwa na 50 KM hiyo ni 0 Km. Hiyo gari haijawahi tumika wala milikiwa KM za kutoa bandarini kwenda yard za nn sasa

hata ikiwa na na 99km Bado ni 0 KM zaidi ya hapo ndo mambo mengine.
Gari kisheria likitembea km 1 ni USED
 
Back
Top Bottom